Hatima ya waliofutiwa matokeo darasa la saba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatima ya waliofutiwa matokeo darasa la saba

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by JamboJema, Dec 19, 2011.

 1. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nimekuwa nikijaribu kujiuliza maswali mengi kuwa nini itakuwa hatima ya hawa watoto waliofutiwa matokeo juzijuzi na NECTA....ndo wameishia hapo au kuna nafasi ipi tena kwao kielimu?
  Je, ni wao ndo walishawishi udanganyifu huu (kama kweli ulikuwepo)?
  Na kama sio wao walioshawishi kosa hili kutendeka, ni haki wao kuhukumiwa hivi?
  Na waliotenda HASA HILI KOSA (i mean - wasimamizi, walimu wakuu, n.k) wanashughulikiwa vipi?
  Hakika siamini kama watoto hawa walikuwa na uwezo wa kushawishi huu uozo regarding their age. Ningewashauri wahusika wafikirie suala la kuwapa second chance kwa kuwapa mtihani mwingine wenye usimamizi thabiti ili future yao tusiiharibu kwa vile tu sie wanetu wako intanesheno za Manzese na ulaya.
  JUST THINKING ALOUD!
   
Loading...