Watoto waliofutiwa matokeo nini hatima yao

Nsam

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2018
Posts
212
Reaction score
290
Naomba kuuliza na nahitaji msaada

Wakuu na wana jamii forum nauliza watoto wanaofutiwa mitihani nini hatima yao kwa kuwa wao hawana makosa mtoto amesoma kwa Zaidi ya miaka kumi wazazi wamelipa ada leo wanafutiwa matokeo .
Je watoto wana tatizo gani
Je nini hatima ya hawa watoto?
Kipi kifanyake
Naombeni kujua
Nakama wataweza kwenda sekondari kwa mfumo wa private vipi wanapata wapi prem zao? Asanteni
 
Kosa liko wapi? Lazima watakuwa wameambiwa kosa (labda wamepewa majibu ya mitihani).

Sasa nyinyi wazee mujikusanye muwashitaki walimu au bodi ya shule.
 
Wasubiri Mwakani watarudia shule tofauti na zilizofungiwa
 
Naomba kuuliza na nahitaji msaada

Wakuu na wana jamii forum nauliza watoto wanaofutiwa mitihani nini hatima yao kwa kuwa wao hawana makosa mtoto amesoma kwa Zaidi ya miaka kumi wazazi wamelipa ada leo wanafutiwa matokeo .
Je watoto wana tatizo gani
Je nini hatima ya hawa watoto?
Kipi kifanyake
Naombeni kujua
Nakama wataweza kwenda sekondari kwa mfumo wa private vipi wanapata wapi prem zao? Asanteni
Natamani wazazi ambao watoto wao wamefutiwa matokeo wa shule zote 24 wajiunge kwa pamoja (kupitia group la Whatsapp ) ili waweze kuwa na umoja na kupaza sauti kwa pamoja kwa hatma ya watoto wao.

Umoja ni nguvu.
 
Kama mpo tayari, nitumie namba inbox niweze kukuunga. Na kama una namba ya mwingine, nitumie niwaunge ili sauti iwe moja nchi nzima
 
Mpeleke Private
Issue sio Private! Issue ni kuwa, form 2 atafanya Qualifying Test au atafanya mtihani wa upimaji wa kidato cha 2? Na form 4 atafanya kama Mtahiniwa wa Kujitegemea au atafanya kama Mtahiniwa wa shule?
 
Hivi matokeo ya la 7 kumbe huwa yana umuhimu kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom