MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,979
Kuna msemo wa kiingereza unaosema, ''A picture is worth a thousand words''
Kibonzo cha leo kutoka kwa mchoraji mashuhuri, Masoud Kipanya kimetoa picha halisi kuhusu hatima ya upinzani nchini.
Ukiangalia na kuchanganua kwa undani utagundua ukweli wa kibonzo cha Masoud.
Upinzani wa leo umebaki na hoja za hisia huku ukiishi kwa kutafsiri maneno ya wanasiasa au watumishi wa serikali badala ya kujenga hoja za masuala.
Kwa mwendo huu mwaka 2020 kuna hatari ya kujikuta tuna Bunge la Tanzania lenye Wabunge hawazidi watano kutoka kambi ya upinzani!