Hatima ya madiwani wa CCM..!

Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,943
1,500
Wakuu naomba kujulisha mwenye updates za madiwani wa ccm waliotishia nyau nape akanywea kama wametimuliwa au kapotezea ile ishu yao...!!??

Napata wasiwasi kama wameshindwa kwa madiwani,wataweza kuwatimua mawaziri...? Na kama watawatimua mawaziri basi wanaogopa kuwafukuza madiwani kwakuwa itawalazimu kuingia kwenye uchaguzi,kitu wanachokiogopa mpaka kesho kupambana na CHADEMA..

Nawasilisha..
 

manning

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
3,524
1,250
mkutano na waandishi wa habari ni Ijumaa waliahirisha kwa ajili ya kuchakachua kwanza na hapo sharti wamtose meya ambaye ni mmoja kuliko kutosa madiwani 8 na mbunge mmoja. Au kama sivyo watamezea tu na rupia itatembezwa kwa madiwani kuua soo.
 

Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,943
1,500
maamuzi magumu wawaachie chadema peke yake

...kweli mkuu maana walianza na singo ya magamba wakashindwa kunata na beat,wakakurupuka na madiwani wamelamba mchanga,wamekuja na mizigo,a.k.a chama cha mizigo ccm,na hawataweza kitu maana hata reserve nao ni chakavu...
 

Ba E's

Senior Member
Aug 20, 2013
145
170
Ccm hii ninayoifahamu haina ubavu wa kumtimua waziri hata mmoja japo pinda ana hamu sana ya kuuacha u pm ila ataboronga mpk 2015 hakuna mtu wa kutoa wala kubadilisha wazirg/baraza la mawaziri.
 

Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,943
1,500
Ccm hii ninayoifahamu haina ubavu wa kumtimua waziri hata mmoja japo pinda ana hamu sana ya kuuacha u pm ila ataboronga mpk 2015 hakuna mtu wa kutoa wala kubadilisha wazirg/baraza la mawaziri.

...wanaanzisha ngoma kucheza hawawezi,chama chakavu hakina maamuzi yenye manufaa kwa taifa bali yanaangalia maslahi ya chama tu...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom