Hatima Diamond Kathibitisha ndoa yake na Zari

kifimbocheza_ huwezi acha mademu wa kitaani kwenu,afu utegemee mademu wa kitaani kumpenda!
Atafute sapoti ya waganda,sapoti ya home from Bongo ladies ataisikia kwenye bomba...!
Yeah na atazidi ku_decay mpk atapukutika kwa huu ujinga anaoendelea kuufanya sijui limempa nn hili libibi, au anamendea mali za ulisi maana jamaa hasikii wala haoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si njaa zao ndo zilizowapeleka,kama huyo mwengine aliyejifanya kuzaa naye na kutafuta kiki.swali fupi tu,hivi tangu waanze kungonoka mahusiano yao ya kwanza alikuwa diamond tu? Hakukuwa na wengine kabla ya yeye? Au kwa sababu anaukwasi na wao walitegemea njaa zao wapate hisani yake? Mambo yalipoenda mlama wanadai wamechafuliwa.Tena wengine walivyokuwa hawana haya wanajitangaza kabisa kwenye media kwamba,akitaka hata uvunguni anapewa,Hakuna mwanaume anayekataa papuchi za watoto wazuri zinazotaka kushughulikiwa.Teh teh teh

Na huku humo!!!

Hivi huyo anayedai kazaa naye, kwanini hakurusha picha alizopiga kwa kuibia wakiwa wote au hata walizopiga pamoja sehemu watu hawafik!? Yaani siamini mwizi na nguvu aliyokuja nayo akose picha na ampendaye za kivyao or alifungiwa simu?
 
Kwani Zari ni maskini? BTW kati ya Dai na Zari nani ana pesa zaidi?.

Unafahamu "wealth maximization concept" mfano Tajiri Kama Bahkresa pamoja na mambo ya uzalishaji na kufanya biashara kubwakubwa lakini haachi kutengeneza Ice creams Za shs 50 na kuuzia watu unajua ni Kwa nini? Si angeachana na hizo biashara ndogondogo Za kuuza ice creams na chock sticks akabaki na biashara kubwa kubwa ? Kama anaweza kupambana akamwambia jamaa ajenge jumba Kwa kila mtoto mfano amekosa nini?! Ngoja nisieleze mengi! Wanasema alolala usimwamshe , ukimwamsha utalala Wewe ! Alamsiki!
 
2M tayari nafikiri mdada ashukuru maana hii imechangia yeye kuja. Kwaya ya Mt. Cecilia kila mtu na washabiki wake wameshindwa kumpiku? (joke)
Wimbo unafanyiwa kampeni utafikiri kuna uchaguzi. Kizuri kinajiuza chenyewe siyo kwa kufosi kiasi icho ila thumb up mmefanikiwa congrats for that ila ukifika view flan ukaganda mtaonekana maboya sana. Kesheni ivo mpk mfikishe view 10 kama salome ndn ya mwez mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu show off zake zinamponza sana kwa akili yake ndogo anahisi anawakomoa akina fulani kmb ndo anajimaliza. Zari yupo pale for fame umarufu ukiisha anachukua kilicho chake anasepa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na uzee juu maana akumbuke uzee ukiingia hakuna make up itakayobadili hilo. Hapo ndo huyo zari ataomba poo maana kaka yetu yupo vzr kwenye kuseduce wadada. Hahaaahaaa
 
Waache waoaneee!!!
Ila mziki wa Seduce me upo pale pale unakaribia 2M huko YouTube.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari 2M viewers

Back
Top Bottom