Hati ya Mashtaka dhidi ya CAG Assad: Anachomokaje?

Status
Not open for further replies.
rais sometime anajidharirisha sana, tunajua kua haya yote ni maelekezo yake, na spika nae alivyo hana akili anakubali kupelekeshwa kama guta bovu
 
Hivi hayo maagizo anayotoa speaker ni maazimio ya bunge ama ni maazimio ya Ndugai?
Yakiwa ni maazimio ya Ndugai hayana uhalali wa kisheria wala wa kisiasa maana ni bifu binafsi.
Na izingatiwe kuwa hatujaona bunge likitoa hayo yanayosemwa na ndugai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Pamoja na Ndugai kupewa makavu na hasimu zake,kiukweli jana ule ufafanuzi alioutoa ulikua makini sana ,ngoja nione mwisho wa sakata hili,japo wanasiasa wamepata mtaji
ukae ukijua..
 
Nachukia huyu jamaa hadi nafika hatua ya kumlaaaani tuu
 
Hivi hiyo tume inaundwa na watu wa kutoka wapi.
 
Umeelewa maelezo yangu?,au ndio mikurupuko
LENGO linajulikana ****** hana nia nzuri kwa MH. ASSAD sababu ASSAD hakubali kupindishwa au kulishwa madhambi kama walivozoeshwa waliomtangulia.
nimekupa shortcut hiyo kuondoa mzizi wa FITINAT
 
Spika yeye ni nani mpaka amuandikie barua CAG? Kwanini CAG asiandikiwe barua na bosi wake.
 
Hivi Ndugai ndiye msemaji wa Ikulu? Mwenye mamlaka ya uteuzi wa CAG yuko kimyaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…