Hati ya Mashtaka dhidi ya CAG Assad: Anachomokaje?

Status
Not open for further replies.
Hoja za kipuuzi puuzi!Kwa hiyo kama bunge ni kweli ni dhaifu na raisi ni sehemu ya hilo bunge ina maana ukweli usisemwe??!
Na huo ndio ukweli, logic ni kitu kizuri sana kama
  1. Bunge ni dhaifu
  2. Raisi ni sehemu ya bunge
  3. Raisi ni.......
 
NDIO MAANA KWENYE KATIBA WAMESEMA LAZIMA IBARA NDOGO YA (4) ITUMIKE ILI HUYO CAG AFUKUZWE KAZI...
 
Najua Ndungai amebakiza miezi 8 kuondoka ofisini
2020 tulidhani ni mbali sana
Kumbe uchaguzi umefika????
Duh
sasa kurudi bungeni itategemea huruma za wananchi wake
Japo nao wanashangaa coz hawakumtuma aende bungeni kuanzisha vita na CAG
Hiyo nayo ni tabia mbaya


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa sababu Tuhuma ya Pili imejengwa kutokana na kauli ya uongo ,"..alibeba jukumu la kuitangazia dunia kwamba, Bunge la Tanzania ni dhaifu.....". Hapa hakuna mashtaka ya kujibu.

Link https://www.jamiiforums.com/threads...ge-dhaifu-shida-iko-wapi-wao-malaika.1573290/


 
Kazi ya CAG ni kusema ukweli nje ya nchi au kukagua na kutuletea ripoti yenye mapendekezo?
Kweli jina linaumba. Kwahiyo CAG hata akiwa nje ya nchi akitekeleza majukumu yake ya kazi Hapaswi kuusema Ukweli!
 
Ndugai amepewa kiburi na Magufuli, Magufuli angekuwa upande wa Assad upuuzi huu ungesha koma zamani.
 
Taratibu za kijeshi unazijua mkuu?
 
Watu wakiwa madarakani Huwa wanashindwa kusoma Nyakati,kwa namna yeyote ile Ndugai mwakani hapati uspika hata iweje,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujawahi kupata Spika wa hovyohovyo kama huyu Bwana mdogo, hivi anashindwa hata kujiongeza kwa Jambo dogo kama hili kwamba hana mamlaka ya kuhoji uteuzi au utenguzi wa CAG , anafikiri cheo cha CAG ni kama uwaziri,


Na hili la Spika kumshinikiza Mh Rais kutengua uteuzi wa CAG ni kutaka kumuingiza Rais majaribuni , Spika aachie ngazi kama kweli anaona hilo analolisimamia lipo sawa!

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kazi ya kuidhinisha matumizi ya fedha za umma ni za jiwe? Jiwe amechukua kazi za bunge.
hwa na amini kwamba mtu anayeitwa JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI ana mattizo mengi mno kichwani na uelewa wake juu ya mambo yanayomzunguka ni mdogo sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…