Hati ya mashitaka ya Mhe. Lema baada ya mengine kutupiliwa.

Hati ya mashitaka ya Mhe. Lema baada ya mengine kutupiliwa.

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
attachment.php

Hili ndiyo shitaka analoshitakiwa nalo mbunge wa Arusha mjini Mhe Godbless Lema
 

Attachments

  • IMG-20130429-00274(2).jpg
    IMG-20130429-00274(2).jpg
    403.4 KB · Views: 11,043
Upuuzi mtupu. Na hili linachangia msongamano wa kesi zisizokuwa na maana mahakamani.
 
Halafu wanasema ni shitaka la jamhuri dhidi ya Lema? Jamhuri gani hiyo yenye kushitaki watu kwa makosa mepesi kiasi hicho? Kwa kweli ifikie wakati tuanze kuona aibu kwa mambo haya. Yaani kumwambia mtu umekuja kama unaenda kwenye 'send-off' ni uchochezi?
 
Upuuzi mtupu. Na hili linachangia msongamano wa kesi zisizokuwa na maana mahakamani.

Halafu watakwambia mahakama zinazidiwa kutokana na idadi kubwa ya kesi lakini kumbe kesi zenyewe ndo hizi za mtindo huu!!!
 
Leo ndo nimejua kumwambia mtu "ANATEMBEA KAMA ANAKWENDA KWENYE SEND OFF" ni kosa la jinai. Kumbe hata kumwambia mtu hujui stend ilipo au hujui Hospitali ilipo au hujui kituo cha polisi " nalo ni kosa kisheria!!!!!!!!!!!!!:angry:

Kumbe kosa linakuwa defined kwa matakwa ya mtu atakavyo!!!! kwa namna hiii nchi haiwezi tawalika kwani kila mtu atakuwa na kikatiba chake au penal code za nyumbani kwake
 
Hiyo ni hati ya mashtaka au ni maneno ya kijembe vijiweni? Kweli kanda ya Arusha DPP mmeandaa haya mashtaka au ni kuchekesha watanzania wakubwa zangu? Why wasting taxpayers money? Nimeshangaa sana. Yaani kesi ya ajabu sana hii. Mbona maneno ya kawaida hayo? Yale maneno aliyosema mkuu wa mkoa ndiyo yaliyoamsha hasira za wanafunzi na si ya Lema.
 
Nimependa mabango ya wananchi wenye haki na mbuge wao.

Walimchagua wao, wanamwamini, wanampeda, wanamhitaji nk, thus why wako pamoja naye kila sehemu (katika shida na raha)

Big up wana wa Arusha.
 
Hii ni kesi ya kijinga kwasababu ya mjinga mmoja aliyepewa madaraka ya kusimamia wenye akili. Kosa ni kuwa tumeruhusu akili ndogo iitawale akili kubwa!
 
Back
Top Bottom