Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Sasa kilio cha siku nyingi cha baadhi ya Watanzania kuhusu upatikanaji wa Hati ya kusafiria kimefikia tamati, sasa kwa mujibu wa Idara ya Uhamiaji, Hati hiyo itatolewa ndani ya siku tano (5) tu za kazi!
HAPA KAZI TU!
(Habari na Picha kwa mujibu wa Blogu ya Michuzi!)
HAPA KAZI TU!
(Habari na Picha kwa mujibu wa Blogu ya Michuzi!)