Hati nae bibi amekua graduate, elimu haina mwisho

Hati nae bibi amekua graduate, elimu haina mwisho

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
1085607
 
1085616



1085611


The grandmother used all her resources to educate her grandson. On a graduation day grandson amazed everyone when he said she deserves it better than him as she worked hard for that degree.

It was so emotional, every one was touched.
 
Hongera zake bibi katimiza ndoto yake ki ukweli ya kufa akiwa msomi
 
Stori ya huyo bibi ameveshwa joho na mjukuu wake kumpa heshima baada ya kumsaidia kufika hapo,,,hivyo dogo baada ya kuona amegraduate akaamua kumvesha bibi yake joho badala yake ili kutambua mchango wake
Safi sana nimeipenda hiyo
 
Back
Top Bottom