[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ingekuwa Kenya huyu Dr Luois Shika angekuwa anamaisha mazuri na anafanya matangazo ya mnada na biashara.
Mfano. Kuna Baba alijipata Umaarufu Kipindi cha Uchaguzi Kenya. Anaitwa Githeri man. Kwasasa anapiga pesa za matangazo sana.
Kenya wanajua kuchukua fursa haraka. Tanzania bado sana.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Tayari mumeshamvua nguo?
Nmejaribu kugoogle lakn hakuna hata taarifa zake zaidi ya kukamatwa na polisi
Inamaana huyu ndie
Kwahiyo mkuu ukitajiwa ng'ombe 10...utasema 100 itapendeza? haki ya nani hutopewa mkeDah huyu mzee kafunga mwaka aisee..nikimcheki nacheka sana hii confidence ntaitumia kweny kulipa mahali aisee
Not even a Photoshop, it's a PAINT from Ms Windows