Haters will say its a Photoshop

Na NGUO zilezile za jana
 
Na NGUO zilezile za jana

Ndo maana nasema; mshana jr nakuaminiaaaa. Yaani alishamuona kabla hajaenda dukani kuzinunua hizo nguo na makobasi yake. Fikiri, hata hao madalali wa Yono, majitu yaliyo bobea kwa minada, haikushtuka kumwona mnunuzi kuwa ni kiazi?? Nyumba ya kwanza, nyumba ya pili hadi ya 3?? Kuna tatizo mahali flan.
 
Inaelekea habadili nguo wala makubazi yake. Na jinsi anavyosimama hana muongiloano wa kimawasiliano na wenzake jirani.
 
Mnadishaji kasema 810 kuna jamaa kanyoosha mkono haijapita dakika

Dr.Shika kaweka mkono mfukoni huku akipepewa kapanda kwa mbwembwe

Mia Tisa itapendeza zaidi

[emoji23]

Watu wewee vigelegele

Kuna kipindi najikuta nacheka peke yangu Kama juhaaa, Hahahahahahaha
'Itapendeza' Ahlul bayt wangu wakijua Faza hausi nacheka nini!


Naanza kuwaza Hii isiwe Kikombe cha Babu cha Awamu ya Tano maana Nchi yetu ni Nchi ya kipekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…