Vikao vya Harusi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 532
- 165
Najua wengi hamkupata nafas ya kuangalia ugeni wa leo kule bondeni,ila ni kwamba MC wa leo alipolitaja jina la president wetu,alitamka na haya maneno
"Karibu jamaa yetu"
Nilisikia, katika Marais wote waliokuwa wakitajwa majina, ni Kikwete pekee aliyepewa heshima hiyo.
Mtu wa visasi ameanza kujihamikikwete ni kiongozi wa watu.
Asiependa visasi.
Mwenye ubinadamu.
Mpoe.
Mkarimu.
Mcheshi.
Mchapakazi.
Hana maneno mengi zaidi ya vitendo.
Your highness Live longlife.
Mbona umepatwa na mfadhaiko? Nini shida mkuu?Mwanamke mdini wewe hívi yakitokea machafuko ya kidini una pakwenda tayari angalia comments zako unazotoa nchi ni yetu zote udini haulipi.
Najua wengi hamkupata nafas ya kuangalia ugeni wa leo kule bondeni,ila ni kwamba MC wa leo alipolitaja jina la president wetu,alitamka na haya maneno
"Karibu jamaa yetu"
Mwanamke mdini wewe hívi yakitokea machafuko ya kidini una pakwenda tayari angalia comments zako unazotoa nchi ni yetu zote udini haulipi.
uko serious ama unatania?,kila mtu mwenye akili timamu anajua kuwa Africakusini na Tanzania wana special relationship,kihistoria,ndo maana hata bendera yao ya taifa na wimbo wao wa taifa karibu ufanane.Mwanamke mdini wewe hívi yakitokea machafuko ya kidini una pakwenda tayari angalia comments zako unazotoa nchi ni yetu zote udini haulipi.
So what? Tunampenda na kumuheshimu Rais wetu lkn sio lazima kutuletea habari nyepesi kama hizi. Basi Ikulu itoe press release kama ile ya "my brother Kikwete" ya Obama. Yaani kwa ufupi Kikwete hahitaji cheap popularity kama hizi mnazozileta. Mezeeni mate siku moja moja.