yeye kama ameingizwa mkenge akae kimya ajipange upya !Unatuharibia tunaotafuta wachumba
Sie wengine yetu yanatunyookeayeye kama ameingizwa mkenge akae kimya ajipange upya !
Hapo sawahapana usijali hili ni angalizo tu japo wema wapo kama ww na wengine wengi
Suala za Umri mimi naona halina mashiko...Age are just numbers labda iwe tofauti kubwa sana mbayo itaonekana