Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,627
Hata ambao hawajakutana kwenye mitandao sio waaminifu.Siyo ndoa zote ambazo watu hukutana mitandaon hudanganya bali mimi nimesema nyingi wengi huwa si waaminifu
Hata ambao hawajakutana kwenye mitandao sio waaminifu.Siyo ndoa zote ambazo watu hukutana mitandaon hudanganya bali mimi nimesema nyingi wengi huwa si waaminifu
Nina waswasi Na difinition yako...!!!Mtandao ni njia yoyote ya kuwasiliana na mtu pasi na kuonana naye yaweza kuwa email,social network...
Na Ule Wa JK Na Ccm Yake Nao Ulikuwa Kuwasiliana Bila Kuonana,,,,lakini Hata Skype Si Ni Mtandao Hebu 2fafanulie VzuriMtandao ni njia yoyote ya kuwasiliana na mtu pasi na kuonana naye yaweza kuwa email,social network...
Mimi nimepata mke, namshukuru mungu tuna mtoto na inshaallah tunataraji kupata mwingine.Yah, ni kweli wengine wanafanikiwa kama wote watakuwa ni waaminifu ila wengine huwa hawafanikiwi kwa sababu huwa si wakweli na wawazi
Sasa mbona hujasema muda mrefu watu tu kupmUnatuharibia tunaotafuta wachumba
hahahahahahahahahaUnatuharibia tunaotafuta wachumba