antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,722
- 134,756
Masaa 8, safi sana.Mi nalala mkuu,saa 3 mpaka 11 alfajiri
Hakika mkuuMasaa 8, safi sana.
Kiafya inashauriwa mtu mzima alale kwa muda wa masaa 7 hadi 8
MashalahMimi hapa mkuu
Nilikumiss hakika
Aisee hata mimi dakika 5 nimeshalalaKatika vitu sina mchezo navyo ni usingizi, nionyeshe kitanda.... dakika 5 nyingi nshalala
Nahisi vituko utakuwa umepunguza mdogo wanguNimerudi Bro
Unakuwa unawaza kuhusu nini
Safi sana, je unaweza kuja katika pm yangu?Nimekuwa mstaarabu vibaya mno
Mbona zilipendwaHee hii ndo naisikia Leo jamani
Sawa, ukiwa free uje..Hapana Kwa sasa Niko busy kidogo