USINGIZI unaenda ukipotea π π
Lakini si ni kweli mamaakeπIla Seran π π π
π€£π€£ulale fofofo hujipendiπ€Ni kufumba jicho moja tu π π π
Hiyo nimekataa aiseeHalafu tunateseka na wakati kuishi ni mara moja tu jamani π
Usiku wa tarehe 29 Oct sikulala.CCM ndio tatizo kuu
Tokea hapo sipati usingizi vizuri, nalala nusu saa nashtuka. Siku nyingine hadi asubuhi inafika sijapata usingizi.Lakini siku nyingine unalala?
Aisee mbona sikuoni kwa jukwaa siku hizi?π π π Sijui tunawaza Nini jamani
Nasema mbona unauliza jibu! Ukiona KE hapa JF amepotea jua amepotezwa katika penzi jipya. Likichuja anarejea.Unataka kusemaje kijana
Hahaha,Sasa mbona Mimi Gizani naogopa nikiwa mwenyewe