Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,449
- 3,287
Olewa mamy utapata usingizi.Watalaamu wa Afya wanaelezea umuhimu wa Usingizi kuwa una faida zake, lakini utakubaliana nami kuwa Usingizi umekuwa adimu sana siku hizi.
Watu wengi hawapati Usingizi Kwa kiwango kile kinachoelezwa na watalaamu.
Wakuu Mnadhani ipi ni sababu?
Unauliza makofi Polisi?Shida ni simu na tv hasa simuuuu,
Ulipotelea wapi ewe binti mrembo wa Kitanga!?
Mimi nalala masaa 8 maximum nina alarm kabisa inanikumbusha sasa hivi ni muda wa kulala ikilia tu naacha kila ujinga pembeni nalala na nimeset muda wa kuamka ikilia tu naamka ingawa hapa kwenye kuamka ndio nakuaga mbishi sio kwenye kulalaWakuu Mnadhani ipi ni sababu?
Hii nzuri sana nimeipenda sanaMimi nalala masaa 8 maximum nina alarm kabisa inanikumbusha sasa hivi ni muda wa kulala ikilia tu naacha kila ujinga pembeni nalala na nimeset muda wa kuamka ikilia tu naamka ingawa hapa kwenye kuamka ndio nakuaga mbishi sio kwenye kulala
Nitafanya hivo. Asante Kwa ushauri mzuriJisemee wewe mi nionavyo watu wakipata nafasi ya kulala huitumia ipasavyo maana kwanza, usingizi sio ombi ni hitaji la mwili.. utapata shida yakutokupata usingizi ikiwa mwili wako unakasoro fulani.. mi naona changamoto ni majukumu tu ndio yanawafanya watu wasiwe wanalala kwa wakati lakini sio kwamba watu wanapoteza usingizi!, usingizi upo tu kama unapitia changamoto yakutokupata usingizi basi waone wataalumu ndugu.
Mitandao,Wakuu Mnadhani ipi ni sababu?
Mambo ni Mengi sana Jamani πStress
Majukumu
Over expectations
Uchumi mgumu
Unalalaje wakati mambo hayaendi, tumekuwa na stress kama watu wa magharibi wakati waafrika tulikuwa tunaishi kwa raha na amani, bills everywhere, fees, society. Mambo ni mengi.
Ndoa ni adui mkubwa wa USINGIZI π π πAisee,mi nalala sana
Iache simu sitting room then lala
Madeni waachie wanaokudai usiwafikirie
Changamoto za kazi puuzia usizifikirie
Ila kama ni changamoto za ndoa sasa,na adui upo nae hapohapo π€
Kama una tatizo hilo ikifika usiku saa 3 hivi, achana kabisa na simu, utasinzia tuHii ni kupenda au kutokuwa na USINGIZI tu?