Hatari ya CCM kukosa majimbo yote Dar

Hatari ya CCM kukosa majimbo yote Dar

Jimbo la Kawe yeyote anaweza akashinda hali sio nzuri kwa Mdee kwani hakufanya la maana jimboni na CCM wana mgombea strong (Kippi Warioba)

kipi warioba hana ubavu...mdee alimshinda mgombea wa ccm pamoja na mbatia atakua huyo kipi???
 
Majimbo ya Ilala,Kigamboni,Ukonga na Temeke hayo yanarudi CCM,Chadema wana uhakika majimbo ya Kibamba na Ubungo while Kawe,Segerea hayo ni 50/50.Sina uhakika na Mbagala,Kinondoni

Ccm haina uwezo was kushinda temeke kigambon wala kinondoni.
Sababu ni kuwa tukichukulia kama uchaguzi was 2010kana ndo kigezo ,majimbo tote hayo ccm ilishindwa na chadema na cut ukijumlisha kura zao. Sasa HV wameunganisha nguvu so ushind ni mteremko tu hapo
 
Makufuli hana utu, nakumbuka mwaka ule watu walikuwa wanalalamika kuhusu nauli ya kivuko cha kigamboni akawaambia kuwa asiyeweza kulipa apige mbizi, sijui ataenda kuwaomba kura?
 
shost

Mbona kuhusu segerea naskia mtatiro kamwachia bimdada anatrophia
 
Last edited by a moderator:
tuwe makini wapiga kura ni wanawake!

Mkuu wewe bado upo kipindi cha Mwl. Nyerere. Subiri uone hao wanawake unaosema ndio wenye kupiga kura. Vijana wa kiume wamechoka na maisha ya kutazama watoto wa wakubwa wakipita na magari mazuri wao wakiishia kuyaosha tu. Tanzania ya leo si ya jana ya kuiba kura au kuwanunua watanzania kwa kanga na viberiti.
 
Mimi mwana CCM Kindakindaki naapa kuwa nitampigia kura Edward Ngoyai Lowassa anayeiwakilisha CHADEMA kupitia mwamvuli wa Muungano wa vyama vya UKAWA. Kama kunawakati ambapo CCM inahitaji kujipanga vyema na kurekebisha mapungufu yaliyopo wakati huo ndio sasa.Kwa yeyote anayeipenda CCM kama mimi,naomba kwa Moyo Mkunjufu tuiweke CCM pembeni ili ikajikague,ikajitafakari na kisha ijipange kwa ajili ya 2020 - 2025.Gari ama mashine yeyote ile hata iwe tingatinga ikiharibika sharti iwekwe pembeni ili ifanyiwe marekebisho.Ukiilazimisha iendelee na kazi ama iendelee na safari madhara yake ni makubwa sana kwa abiria,mazingira na hata watu waliokaribu na mashine hiyo!!Kataa vitisho,kataa kununuliwa kama bidhaa,kataa uchochezi,kataa michezo michafu ya Kisiasa...Jiandae kupiga kura yako kwa Diwani,Mbunge na Rais wa UKAWA.....MUNGU ibariki TANZANIA na watu wake wote!!
 
kipi warioba hana ubavu...mdee alimshinda mgombea wa ccm pamoja na mbatia atakua huyo kipi???

Hiyo ilikuwa 2010 then Mbatia hana influence yeyote kwenye siasa za hapa Dar.Mdee ana challenge kubwa hakuna alichofanya jimboni, na 2010 Mdee hakugombea na Kippi
 
Hiyo ilikuwa 2010 then Mbatia hana influence yeyote kwenye siasa za hapa Dar.Mdee ana challenge kubwa hakuna alichofanya jimboni, na 2010 Mdee hakugombea na Kippi

..ngumu sn huyo kippi wenu kushinda kawe ukubali tu.Wakati mdee anamshinda Mbatia ukawa haikuwepo,ss leo zile kura za Mbatia zitaenda kwa Mdee thn ujumlishe na za Mdee peke yake..uyo mtu wenu atashindia wapi? weka mahaba pembeni...
 
Ccm haina uwezo was kushinda temeke kigambon wala kinondoni.
Sababu ni kuwa tukichukulia kama uchaguzi was 2010kana ndo kigezo ,majimbo tote hayo ccm ilishindwa na chadema na cut ukijumlisha kura zao. Sasa HV wameunganisha nguvu so ushind ni mteremko tu hapo

Siasa ya Tanzania haiendi hivyo mtu kushinda jimbo inategemea na mambo yafuatayo

Moja -Performance ya mbunge aliyepita

Mbili-Ushawishi wa wagombea kwenye hilo jimbo

Wabunge wa Dsm waliofanya vizuri kwenye majimbo yao namba moja ni Mtemvu (watu wa Temeke wanafahamu) na jimbo limegawanywa wapinzani(CUF) kura nyingi zilikuwa Mbagala

2.Zungu ana influence sana Ilala na kumbuka wapiga kura wengi wa Ilala ni Waasia (wahindi) ni wapiga kura wazuri wa CCM mgombea wa upinzani hana ushawishi kwa wananchi

3.Jimbo ambalo wapinzani wangeweza kuchukua ni Kinondoni ,Azan hajafanya la maana na scandal za kuuza unga but wapinzani hawana mgombea wa kueleweka so usishangae Azan anarudi bungeni
 
Ilala.ilikuwa ina.uhakika wa Zungu.kuchukua lkn.uwepo wa Hassanali mwenye Asili ya Kiasia ni mtihani kwa Zungu.Huenda Zungu mambo yakawa magumu
 
Pigeni kazi , ushindi haupatikani kilelemama.....

Kila la Kheri ukawa....
Kila la Kheri Dar es Salaam....
 
Back
Top Bottom