Hatari: Nimeacha kutumia Nyama

Mkuu una maanisha nyama za ndege MF Kuku, Bata, Njiwa, Mbuni, Khanga nk pia zina madhara? Na kama ndiyo kwanin wataalam wanashauri tule nyama nyeupe ambazo ni za ndege pamoja na samaki kuwa ni salama kwa binadamu???
 
Hiyo nyama ambayo inasangwa tumboni siku4 itakuwa nyama jiwe
 
Lkn ukiambiwa kugegedana safi!

Waafrika tunajijua wenyewe
mkuu kugegedana ni kutoana uhai?ili ule nyama lazima uhai wa kiumbe kingne utoke(ufe) ndyo ule nyama.mm binafs naona ni km ukatili.
 
Kwahyo wamasai na jamii nyingine za wafugaji na wawindΓ ji wanaumwa sana kansa?
 
Huyu jamaa sijui hii sayansi yake ya nyama kaitoa wapi

No wonder akina Ndodi and co wanatajirika kwa wengi wetu kukosa maarifa
 
Well said walahi
Asante sana kwa somo walahi
 
Hivi sigara nayo ni chakula???? Mie naamini wanga ni hatari kuliko nyama. Kula nyama nyingi na wanga kidogo kwa afya yako.
Hii ni kutokana na tafiti zilizofanywa. Mtaalamu mmoja alisema "it doesn't matter about what you eat but what you dont eat" akimaanisha unaweza kula nyama na ukala kitu kingine ambacho hatari yoyote katika hiyo nyama. mfano kama unatumia kitunguu swaumu na unapata juice ya alovera kula nyama haiwi tatizo.
kuhusu sigara hii ilikuwa tu kueleza jinsi watu wanavyotetea jambo, mafano, watasema mbona X ana miaka 90 na amevuta sigara miaka yote!
 
Ni kifungo tu na utumwa uliojipa nyama nimoja na siomoja tu Bali ni chakula kitamu kuliko vyote Duniani sasa niache starehe ya alali kama hii natafuta pesa ili iweje.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee ilee Hydrocloric acid ya tumbona inatafunaa mpaka Mfupaa nyama ndo ichujue siku 4????[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna jamaa kasema mwana hana helaa ya kununua nyamaaa ndo maana
 

Nashukuru kwa Uchambuzi mzuri ILA hapo nilipo Bold na kuongeza Font size umekosea sana, nakushauri kuombe msamaha & Rehema kwa Mungu. Kuna watu wengi waliofuata masharti kama ulivyoelezea hapo juu LAKINI sasa wapo kaburi, Omba Rehema ndugu!!!
 
Wee ilee Hydrocloric acid ya tumbona inatafunaa mpaka Mfupaa nyama ndo ichujue siku 4????[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna jamaa kasema mwana hana helaa ya kununua nyamaaa ndo maana
Mungu alituruhusu tule nyama wanyama wenye kwato na wanaocheua ,mi siko tayari kumpiga Mungu alieniumba
 
Biblia hiyo hiyo imeweka kiwango cha wanadamu miaka kuishi endapo kama utaishi kwa kumpendeza na kumuogopa Mungu
na inaongeza kusema endapo kama Miili yetu itakuwa na nguvu miaka inaongezeka tena
sasa Mkuu unataka uishi miaka kuzidi hata ambayo Biblia imeongea? πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Kuna Miaka 70 Kuna Miaka 80 Na Kuna Miaka 120 sasa sijui wewe unatafuta miaka mingapi

KAMA UNAJUA WAMASAI WANAKULA NYAMA NA UNAWAFAHAMU WAZEE WALIOKO KULE GONGA LIKE HAPA
 
mkuu kugegedana ni kutoana uhai?ili ule nyama lazima uhai wa kiumbe kingne utoke(ufe) ndyo ule nyama.mm binafs naona ni km ukatili.
Hivi unajua tafsiri ya ukatili?
Unajua kwamba dhambi yeyote ile iwe ya kuua mtu, au kuiba sh. 100 ni ukatili?
 
mkuu kugegedana ni kutoana uhai?ili ule nyama lazima uhai wa kiumbe kingne utoke(ufe) ndyo ule nyama.mm binafs naona ni km ukatili.
After all, Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa mamlaka ya kuvitawala viumbe wote wa angani, majini na ardhini.

Kuvitawala maana yake ninkumiliki, kutumia kadri upendavyo, ikiwemo kitoweo.

Yesu kuna wakati kwenye Biblia tunaambiwa aliwalisha watu 5000 kwa samaki 2 na mikate 5, pia tunaona kuna wakati wakikaaa na wanafunzi wake wakila na kunywa,

Chakula kilichotajwa sana katika biblia kilicholiwa na Yesu ni samaki. Samaki ni kiumbe hai je Yesu alikuwa anafanya ukatili?
 
Huyu jamaa sijui hii sayansi yake ya nyama kaitoa wapi

No wonder akina Ndodi and co wanatajirika kwa wengi wetu kukosa maarifa
Ndodi yule tapeli sana yule jamaa, alianza kwa kuwaponda watu wenye vitambi kwamba ni wagonjwa, alipopata hela na yeye likitambi likafumuka akapotea hadi kwenye tv
 
Baba zetu wamekula nyama toka utoto mpka leo hii wanatafuna tu,shida nyama inataka uwe unaiva vizuri na sio kila siku ule
Kwenye nyama hapana kwa kweli, maisha yenyewe yako wapi? Unaacha kula nyama, unakuja kufa kwa kupaliwa kabichi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dagaa ziko kundi gani? Samaki je? Kuku ni ndege au mnyama? Mayai je? Maziwa fresh yako kundi gani?

Uko sawa, matunda maji na mboga mboga hata manyama uzembe yanakimbia yenyewe....

Siku zote vitu vitamu vina madhara.
Siyo vyote, vingine vitamu vina faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…