Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
Hatari sana hiyo,tanroads iringa wangechukua hatua za haraka
Tuangalie pande zote, ikiwa kila Tanroad wakiweka alama vibao vinaondolewa, vinaibwa, wafanye nini?
Tuchangie na mawazo mbadala ya kukomesha wizi pia.
Ikiwa Waswahili wamekusudia uharibifu, wataving'oa na kuvitumia kwa kuzolea mavi ya kuku....labda viwekwe vya plastiki.
Yaah! Hapo umeongea. Nimeona mhandisi aliyejenga barabara ya tabora- shinyanga-mwanza kaweka vya zege na vimedumu hadi leo. So nadhani itasaidia sanaBadala ya kuweka vya chuma Waweke vya Zege.
...labda viwekwe vya plastiki.
Badala ya kuweka vya chuma Waweke vya Zege.
Yaah! Hapo umeongea. Nimeona mhandisi aliyejenga barabara ya tabora- shinyanga-mwanza kaweka vya zege na vimedumu hadi leo. So nadhani itasaidia sana
Hii biashara ya vyuma chakavu na uharibifu wa makusudi wa mali za umma (mara nyengine kwa uharibifu tu kama vile kung'oa vibanda vya simu na posta), uko sehemu nyingi ulimwenguni ambako hakuna sheria au zikiweko hazitekelezwi.Wa-Tz sisi wajinga sana kwa kila eneo yaani hatufai! Hivi navyo mkuu wanabandua vile vibati wanapeleka kwenye vyuma chakavu. Nzega-Shy-Mza zimebaki nguzo nyingi sana hazina alama hasa eneo la mkoa wa Shinyanga. Tanroads waweke sheria kali ikipotea alama 1 tu wenye viwanda vya nondo eneo hilo wanalipishwa hao ndo wanavnunua
*Watu wanaendeshea uzoefu apo!
...pale mahala panatisha sana.