Hatari;Ikulu na BOT kuwa pembezoni mwa bahari.

njoro

Senior Member
Dec 21, 2010
178
8
wanaJF inafaa kweli kwa vyombo nyeti kama ikulu na benki kuu kuwa located pembezoni mwa bahari?nawasilisha
 
Hatari gani zinaikumba?? matetemeko, ugaidi, sunami n.k ebu weka wazi unawaza nini na hofu yako ni nini wajuvi watakusaidia kusema hatari tu haitoshi.

You know unapopost kitu humu ebu jiulize wewe ungeulizwa swali kama hili ungejibu vipi?? UNAWAZA NINI??

In short kuna visiwa vingi dunia hii nawatu wanajenga na kuishi humo, you might not think of that because you have bigger mainland!!! think from another angle!!
 
si walitaka kuhamia dom toka 1970s? Naomba tu tsunami ije iwatimue huko!
 
jus imagine ile tsunami ya 2004 iliyokuja huku kwetu ingekuwa na nguvu kama iliyowakumba indonesia,si tungepata hasara kubwa sana kama taifa,me naona kwa ulinzi wetu,mtu akitaka kufanya hujuma itakuwa ni rahisi,NYERERE ALIWAZA MBALI SANA KUAMUA MAKAO MAKUU YAHAMISHIWE DODOMA.
 
Ikulu iliwekwa hapo strategically na wajerumani ile iwe rahisi kwao kuona adui. Kumbuka enzi izo bahari ndo ilikua njia kuu ya usafiri. Sasa sielewi uwepo wake pale leo kama bado una lengo lile lile
 
TUMUULIZE MJEREMANI ALIYEJENGA.....! inferiority complex ni kitu kibaya sana.....!
 
jus imagine ile tsunami ya 2004 iliyokuja huku kwetu ingekuwa na nguvu kama iliyowakumba indonesia,si tungepata hasara kubwa sana kama taifa,me naona kwa ulinzi wetu,mtu akitaka kufanya hujuma itakuwa ni rahisi,NYERERE ALIWAZA MBALI SANA KUAMUA MAKAO MAKUU YAHAMISHIWE DODOMA.

mkuu,

Kila mradi TZ unaambatana na ufisadi,rushwa tena mabilioni.Unakumbuka twin tower?
Sasa unawa-encourage wajanja waje na wazo la kujenga majengo mengine,sehemu nyengine up land, wajichukulie mabilioni.

Bora ije tu kama tsunani, wakipotea wakaaji wa humo katoka majengo uliyoyayataja, hopefully tutaanza ukurasa mpya, huenda ikawa afueni kwa mtu wa kijijini na mlalahoi.

Au wamekutuma?? Ututie hofu ili wapate kuvuna??
 
sijawah ona ****** ka wewe
 
Hahahhaaa safi sana! Umemshtukia enhee...
 
Mh! yani majengo ya BOT yalivyokula hela ya mwananchi,plus Ikulu ndo usiseme alafu bado tena unataka wahamie tegeta na kuanza kujenga upya?? camon man give us poor Tanzanians a break... hihihihi!!!
 
Back
Top Bottom