HATARI HII: UDOM Walitaka kulipua Chuo- Prof. Kikula

Ndio maana tunasema hakuna haki kabisa na hakuna sababu ya kuwa na wakuu wa wilaya,mikoa manake hawana tija na taifa hili wanafiki wakubwa badala ya kuangalia mustakabali wa kujenga usawa wakuwasaidia wanafunzi waweze kusoma katika mazingira stahiki wenyewe wanachanganya siasa za chuki bora mwandishi wa mwananchi ametueleza umma jinsi wanavyoweza kutokwa na maneno ya sumu kinywani na namna wanavyoweza pandikiza mbegu ya kisiasa vyuoni
 
Na lazima watakuwa wafuasi wa MAGWANDA, kwani ile rangi nyekundu ndio maana yake ya mauaji, vurugu, fujo nk. Wafukuzwe tu ndio malipo yakumfuata kilaza Lema. Haya sasa Magwanda mmeona faida yake
Wewe ni ma ta ko Brain....
 
Hii inaonyesha jinsi gani ambavyo waalamu wetu wanavyo tumiwa na wanasiasa katika taaluma zao hivyo inatulazimu kuamini kwamba ili kupata wadhifa katika idara fulani lazima kujali maslahi ya ccm mfano mzuri ni huyu Kiula na mwenzake Mkuu wa wilaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…