britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,164
- 47,850
Mzee mmoja ambaye ameenda matembezi na mke wake huko Africa kusini amevamiwa na simba na kuvutwa mpaka vichakani.
Kaumia vibaya amelazwa hospitali anaendelea na maribabu,
Hakuwa mtalii huyo baba bali alikuwa ni mliki wa hiyo zoo ya utalii na huyo simba ameanza kumlea toka akiwamdogo na alikuwa anamnyonyesha maziwa kwa njia ya chupa mpaka alipokuwa mkubwa na inasemekana ana umri zaidi ya miaka 10 huyo simba,Haijulikani kwanini hiyo siku simba huyo alitaka kumla na walinzi walimuuwa huyo simba kwa bunduki.Mzee mmoja ambaye ameenda matembezi na mke wake huko Africa kusini amevamiwa na simba na kuvutwa mpaka vichakani.
Kaumia vibaya amelazwa hospitali anaendelea na maribabu,
Kwa hivo hii habari imetokea lini mkubwa?Hakuwa mtalii huyo baba bali alikuwa ni mliki wa hiyo zoo ya utalii na huyo simba ameanza kumlea toka akiwamdogo na alikuwa anamnyonyesha maziwa kwa njia ya chupa mpaka alipokuwa mkubwa na inasemekana ana umri zaidi ya miaka 10 huyo simba,Haijulikani kwanini hiyo siku simba huyo alitaka kumla na walinzi walimuuwa huyo simba kwa bunduki.
Na hiyo clip ilichukuliwa na mtalii aliyekwenda hapo
Da inauma ,wanyama ni wanyama hata umlee vipi, kuna siku atakugeuka, tho na binadamu ni zaidi ya simbaHakuwa mtalii huyo baba bali alikuwa ni mliki wa hiyo zoo ya utalii na huyo simba ameanza kumlea toka akiwamdogo na alikuwa anamnyonyesha maziwa kwa njia ya chupa mpaka alipokuwa mkubwa na inasemekana ana umri zaidi ya miaka 10 huyo simba,Haijulikani kwanini hiyo siku simba huyo alitaka kumla na walinzi walimuuwa huyo simba kwa bunduki.
Na hiyo clip ilichukuliwa na mtalii aliyekwenda hapo
simba na nyoka cio wanyama wa kufuga ao wakshakua awana fadhila[emoji23]Hakuwa mtalii huyo baba bali alikuwa ni mliki wa hiyo zoo ya utalii na huyo simba ameanza kumlea toka akiwamdogo na alikuwa anamnyonyesha maziwa kwa njia ya chupa mpaka alipokuwa mkubwa na inasemekana ana umri zaidi ya miaka 10 huyo simba,Haijulikani kwanini hiyo siku simba huyo alitaka kumla na walinzi walimuuwa huyo simba kwa bunduki.
Na hiyo clip ilichukuliwa na mtalii aliyekwenda hapo
Badala ya kumsaidia wao wanarekodi videoMzee mmoja ambaye ameenda matembezi na mke wake huko Africa kusini amevamiwa na simba na kuvutwa mpaka vichakani.
Kaumia vibaya amelazwa hospitali anaendelea na maribabu,
Nyati wana fadhila ?simba na nyoka cio wanyama wa kufuga ao wakshakua awana fadhila[emoji23]
Mzee mmoja ambaye ameenda matembezi na mke wake huko Africa kusini amevamiwa na simba na kuvutwa mpaka vichakani.
Kaumia vibaya amelazwa hospitali anaendelea na maribabu,
Mkuu huyo jamaa sio mtalii ila ni mfugaji wa huyo simba na kaanza kumlea huyo simba kuanzia ana siku 10 so hakutegemea kama huyo simba ata muattack na hapo alikua kaenda fungua geti watalii watoke
Acha uvivu si u google unataka nikutafunieHuyo mzee jina lake nani kama hicho ulichoandika ni kweli.. taja jina lake na hiyo zoo tuzame Google tusilishane kasa bila sababu
Eti haijulikani kwanini alitaka kumla!!🙂Hakuwa mtalii huyo baba bali alikuwa ni mliki wa hiyo zoo ya utalii na huyo simba ameanza kumlea toka akiwamdogo na alikuwa anamnyonyesha maziwa kwa njia ya chupa mpaka alipokuwa mkubwa na inasemekana ana umri zaidi ya miaka 10 huyo simba,Haijulikani kwanini hiyo siku simba huyo alitaka kumla na walinzi walimuuwa huyo simba kwa bunduki.
Na hiyo clip ilichukuliwa na mtalii aliyekwenda hapo