Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

atoinamba mpaka muoane

kama unampenda kweli na kakuhakikishia bikra tangaza ndoa, fanya kweli ila kuwa makini asikuongopee. Izo vitu adimu sana nasikia hata under 10wengine hawana,
 
Usikute unanyimwa wewe afu kuna jitu linamega........
ukimuoa afu ikawa haipo je? muombe basi hata akuoneshe tu!!!

wee unataka jamaa abake au aanze piga magoti kama mtoto akiomba k lol
 
,mkuu umenifanya nikumbuke hichi kisa,...MEN baby i love u...GAL...love u to baby...ila tupendane tu,kuhusu sex STAKI ntakutunzia mpaka tuowane,MEN hilo si tatizo baby,na mimi mambo ya kuniomba hela sitaki ntakutunzia mpaka tuowane...HAPO VIPI
 
,mkuu umenifanya nikumbuke hichi kisa,...MEN baby i love u...GAL...love u to baby...ila tupendane tu,kuhusu sex STAKI ntakutunzia mpaka tuowane,MEN hilo si tatizo baby,na mimi mambo ya kuniomba hela sitaki ntakutunzia mpaka tuowane...HAPO VIPI

hahahahah.....sema na yeye ananitoaga kiaina
 
Ndivyo inavyotakiwa.. kama unampenda utavumilia na ukishamuoa hakika ni halali yako!! Haya mambo ya uzinifu yamekatazwa...
 
na ukimkuta cyo bikra after ndoa?
 
Yaani mahusiano yana miezi minne tu . . . .ushaanza kulalamikia njunji??? khaa
 
Maana yake ni kwamba uharakishe kumuoa ili upewe hilo "papai bivu"
 
Kwakweli huyo bibie atakua anakudanganya, mbona anakuambia kitu adimu sana ambacho si rahisi kukutana nacho, karne hii,
Kama kweli unampenda fanya jambo moja, ambalo linaweza kukusaidia, tikisa kiberiti lkn ukiona, kinatikisika ujue hakupendi ila we unampenda... Hivyo huna budi kuchukua time,
Mfano mzuri tu wanasemaga(caveat emptor: it's your duty you buyer to examine the fitness, quality of the goods intended, before buy it).
 
acha uongo wewe...ungempenda ungesikiliza na kuelewa matakwa yake kwamba uende kwa wazazi wake ukamilishe mambo, muwe mke na mume ili mmegane kihalali mbele za Mungu na wanadamu wote! wewe unamtamani tu!
halafu unatafuta ushauri JF eti tukushauri ufanye nini ili ufanikiwe kummega. kama wewe mwanaume wa ukweli nakupa ushauri huu ili ummege. panga appointment na girlfriend wako. mwende maeneo yenye watu wengi kama Kariakoo then shusha suruali yako...toa 'mrija' wako then mkamate huyo binti kwa lengo la kufanya nae mapenzi hadharani mbele za watu! nakupa ushauri huu makini maana naona unatuletea mitego ya shetani kutushirikisha dhambi yako ili nasi tunajisike!
 
Kama hataki mfanye mpaka muoane,basi na wewe akikuomba pesa usimpe mwambia mpaka muoane.
huko ni kupotosha mapenzi ya mwenzio kwa mpenzi wake kama wewe umezoea kugegeda na kuacha ni wewe mpe mwenzio ushaur mzuri na wala penzi sio pesa huo ndo ukweli halisi hata kumuoa atimue vitam ale yeye vichungu amuachie nani
 

braza sijakuomba unisaidie kumshawishi bali ninaomba ndugu zangu wanishauri kwaiyo kama onaona ni dhambi waweza kuniambia nisubiri mpaka ndoa lakin sio utumbo unaoandika
 
Kwa jinsi mabinti wa siku hizi walivyo, angekuwa sio bikira angedengua siku ya kwanza na ya pili. Baada ya hapo usipochangamkia angekubaka. Huyo wa kuoa, walau ameweza kukuresist.

..jamani,kukataa sio lzm awe bikira!,somtym m2 anaweza kuamua kubadirika akaamua hatoi tena till aolewe/aoe......so ondoa hayo mawazo ya kila anaekataa ni bikira
 
mke huyo...sasa hao ndio wake wakuoa mwanawane...unakuta kitu sealed bado sio watu walishakojolea mpaka basi

Ndo na ww uache kuwavua watt wa wenzio.....ili waje kuolewa vzr
 

mjanja huyo atakuwa amesha wahi tapeliwa penzi mtu akikagua anachapa lapa, kama wewe unataka kumuoa vumilia lakini kama unataka kupanua shimo lake tu na kumwacha basi usimpotezee muda.
 

Yani hiyo ndio wife material ya ukweli sasa kama ulikuwa hujui, yani huyo ukimuacha tu jua humpati tena wa ukweli kama huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…