Hataki nimpe lifti mdogo wake

Muambie mkeo amuite huyo mwanamke amuambie akome kupanda gar lako....
 
Huyo dawa yake ni kumpiga mambo huyo demu... Atakulaumuje wakat yeye ndio kamleta? Yaan nakushauri usichukue mda piga mashine fasta
 
Mkeo anaogopa unaweza omba mechi ya kirafiki na mdogo wake, na inaonekana mkeo hakuamini wala hamuamini huyo mdogo wake . Jenga mazingira ya kuaminika mkuu
 
Mwambie mkeo maneno huumba unaweza kuwa huna mpango Ila kwa jinsi anavyokushtukia unaweza kuanza kumfikiria huyo Bint hatimaye mkaanguka Dhambini!!!
Mwambie Ajiamini
 
Hebu tuwekee picha yake usiwe unatuuzia mbuzi kwenye gunia tuone kama huyo mgeni wenu anasifa stahiki za kuvunja ndoa yako
 
Mmh umeshaanza kuona nyonyo km embe bolibo hapo kuna htr tyr, bora mama wa watu kaanza kuchukua precution mapema..
 
kwa ninialimpokea sasa...au we huna maamuzi na wewe ,,,,.mwambie kam vipi mgeni aondoke au la abaki umpe lifti
 

Hili nalo la msingi!
 
Toa tamko na wewe, ni aidha huyo binti aondolewe hapo nyumbani au wewe usiache kumpa lifti. Alichokupa ni mtihani mkubwa!
 
Inaonyesha wewe ni bingwa wa kutunga.

Kama ni ukweli, mweleze huyo dada ukweli ili ale taimu yake
Ila kuweka mahusiano vizuri mpe kama laki mwambie awe anachukua hata teks akifika kituo cha mwisho.
 
Uliacha michepuko kutokana na kushindwa gharama za uendeshaji hahahah Nimecheka sana hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…