Hataki nimpe lifti mdogo wake

navin dippe

Member
Joined
May 18, 2015
Posts
47
Reaction score
104
Wana Jf habari za blue monday,

Kuna rafiki wa wife amehamishiwa hapa Dar kikazi, amefikia kwetu wakati akitafuta pa kuishi wamekubaliana na wife akae hapa kwetu mwezi. Ana wiki moja tangu ameripoti kazini kwake, hiyo wiki yote ni mimi ndo nimekua nikiondoka nae asubuhi kwenda kazini maana ofisi zetu wote zipo mjini, tangu Ijumaa wife amenishangaza kunizuia kumbeba huyu mgeni wetu kwenda kazini anataka nimpitishe kwenye dala dala. Sasa mimi niliemtuma akubali kumpokea?

Hivi nitaanzaje kumkatalia lifti wakati nimembeba wiki nzima? Nimepewa ultimatum kwamba tukirudi wote jioni nitaona,
sasa hii wakuu si kutafuta ugomvi bure? Siku zote anadai hawezi kuleta marafiki zake wazuri nyumbani labda wa kuja na kuondoka sasa imekuaje huyu kampokea? Na kwa kweli huyu mtoto kaumbika haswa!

Yaani ni mzuri ajabu, nyonyo kama embe bolibo ananukia marashi wakati wote, yaani kwenye gari hata akishuka harufu ya manukato inabaki kutwa nzima Juzi tumerudi home wife ananivaa chumbani kwamba tumetoka wapi anauliza mbona nakua marashi ya yule dada kumbe wapi hatujafanya chochote, tunaheshimiana mno, anajiheshimu sana huyu binti, ananiamkia asubuhi jioni, tena kwa magoti.

Yaani anaemmiliki huyu binti anafaidi kweli. Wakuu nimuhakikishieje wife kwamba hakuna madhara yoyote yanayoweza kutokea anielewe? Tunabishana usiku chumbani hadi nahisi yule dada anaweza kutusikia. Wakuu kuna mwenye suluhisho hapa nifanyeje? Ananihisi vibaya kumbe mimi sina wazo hilo, nilikua na mchepuko mke wa rafiki yangu alieachishwa kazi ila nimetubu na kuachana nao kutokana na kushindwa gharama za uendeshaji.
 
Tehe wanawake hawajiamini kabisa. Mie kuna shemeji yangu hata kuongea nae sentesi mbili siwezi. Nikizidisha tu wife atanuna siku nzima. Akiwepo usiku funguo za room zinafichwa. Nikishtuka tu na yeye anashtuka yaani we acha tu
 
(Anajiheshimu sana huyu binti, ananiamkia asubuhi jioni, tena kwa magoti)
Mimi mpangaji wangu amehama juzi kuna upande mzima wa nyumba kwa nia dhati kabisa usiaribu ndoa yako mimi nimeamua kujitolea nimpangishe tena miezi miwili free of charge,
Nimemiss sana kuamkiwa usiku na mchana..
 
Inaonekana huyo mwanamke ni chupi mkononi na wewe ni chupi mkononi
ili kusolve tatizo ni kuwatenganisha
 
navin dippe

Naomba nikusaidie kumpeleka na kumrudisha kazini!
 
Last edited by a moderator:
Tehe wanawake hawajiamini kabisa. Mie kuna shemeji yangu hata kuongea nae sentesi mbili siwezi. Nikizidisha tu wife atanuna siku nzima. Akiwepo usiku funguo za room zinafichwa. Nikishtuka tu na yeye anashtuka yaani we acha tu

Mkuu umepigwa pin ile iiii hatari
 
Kwanini mtu uishi kwa mtu tena una kazi? Si bora ukae hotel hadi upate hiyo nyumba.
Pia watu wajipange kabla hawajaenda sehemu
 
Ndoa ni tamu lakini mahusiano na jamii ni MUHIMU, cha msingi badili muda wa kwenda au kutoka kazini, kama ulikuwa unawahi Anza kuchelewa kama ulikuwa unachelewa Anza kuwahi na utengeneze interval naya mgeni
 
Haya bwana navin dippe.....

Naona ni mwendo wa kutunywesha chai tu

Anyway,

Acha nipite hivi ============= > > >









 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…