Yani kuna watu hata haya hawana hata gamba kulivua tu hadi wasemwe weeeeee pengi hata lisivue linajida kama halisikii.Cha ajabu mkilisema kwa mahakama kuna mijitu tena inatoka inawatetea yani kama vile laaana si laaana, balaaa si balaaa,kulongwa si kulongwa, Mi nafikiri kama ukishindikana tena hapa afatwe mama yake aulizwe na mkanye mwanae mi nafiki atamuelewa mama yake mzazi maana serika imeshindwa.