Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

Na yeye akiniacha kabla hata hatujaingia "ndoani"?
Na amesha kula vyangu?
 
Kumbe bado unakaa kwenu ?
Tafuta maisha kwanza mdogo wangu.

Mpaka sasa nipo nazisaka na nipo karibu kumiliki geto la kupanga niinjoy life ,swali kwako kwanini huwa mnapenda kutuuliza kazi zetu kabla hata hatujaingia kwenye mahusiano??
 
Mpaka sasa nipo nazisaka na nipo karibu kumiliki geto la kupanga niinjoy life ,swali kwako kwanini huwa mnapenda kutuuliza kazi zetu kabla hata hatujaingia kwenye mahusiano??
Ili tujue Kama una uwezo wa kutunza familia au hauna.
Kujua kazi ni muhimu,je kama unafanya ujambazi je?na Mimi sitaki mtu jambazi.

Mwanamke mwenye akili lazima achunguze uwezo wa mwanaume Wake kuimudu familia..huu uwezo unajumlisha mambo mengi na si kazi pekee,,,

Pambana mdogo wangu kutafuta maisha
Tendo la ndoa utalikuta ndoani.
 
Ipo hivo mkuu.
 
Mhhh Dada angu we ni fire.,,
Umeolewa?
Nakama hujaolewa kuna mambo yaliwahi kukutokea ee?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…