Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,033
- 173,724
Mpeleke Guest sasa ukamalizeMi sioni tatizo, au mnamaanisha geto.
Au kisa nipk kwa anko?
Mpeleke Guest sasa ukamalizeMi sioni tatizo, au mnamaanisha geto.
Au kisa nipk kwa anko?
Jau sana yani mi nikajua baharia kumbe dogo tu yuko kwa anko wake. Kuna umuhimu wa kuuliza age kwanza
Kumbe bado unakaa kwenu ?Kwahiyo nijikaze mpaka ntakapo oa!!!!!
Haya mambo ya taste yamekuja baada ya kuonja onja.
Mtu akijitunza vizuri wala hawezi kuwa na mambo hayo ya kuchagua radha .
Mwanamke ataijua radha ya mumewe tu na mwanaume hivyohivyo.
Huoni kama hii inapendeza??
Kwanini umuingilie mtu na uje kumuacha?
Huoni kama unamuumiza Zaidi?
Umelazimishwa kumpa?Na yeye akiniacha kabla hata hatujaingia "ndoani"?
Na amesha kula vyangu?
Kumbe bado unakaa kwenu ?
Tafuta maisha kwanza mdogo wangu.
Ili tujue Kama una uwezo wa kutunza familia au hauna.Mpaka sasa nipo nazisaka na nipo karibu kumiliki geto la kupanga niinjoy life ,swali kwako kwanini huwa mnapenda kutuuliza kazi zetu kabla hata hatujaingia kwenye mahusiano??
Wanawake washenzi sana, huyo anaepewa papa ukute hata sio mjanja, kwamfano utakuta wewe ni mwanaume kijana handsome, smart una gari yako na nyumba, lakini ukitongoza unazungushwa, papuchi anaenda kupewa mwanaume hohe hahe asie na mbele wala nyuma kama vile muuza genge, mbeba zege, fundi bomba/fundi redio, msukuma mkokoteni au kibabu kilichostaafu Extrovert
Mbake tu mbona rahisi
[/QUOT
aiseeee
Amekulazimisha?Ananiomba.
Ili tujue Kama una uwezo wa kutunza familia au hauna.
Kujua kazi ni muhimu,je kama unafanya ujambazi je?na Mimi sitaki mtu jambazi.
Mwanamke mwenye akili lazima achunguze uwezo wa mwanaume Wake kuimudu familia..huu uwezo unajumlisha mambo mengi na si kazi pekee,,,
Pambana mdogo wangu kutafuta maisha
Tendo la ndoa utalikuta ndoani.
Kwann unalalaga na pensi?
kumbe tatizo lipo hapa hahaaaa