Hataki kuelewa

Hataki kuelewa

Duh mleta mada unaonyesha una malengo sema kipindi cha uchumba sio committed sana heri umuoe kabisa ndio mtaweza kuthibiti vizuri!
Ni kweli kabisa kipindi cha uchumba sio cha kufanya comirment za kifedha. Wengine wamelizwa. Oa kwanza then pangeni matunizi ya kipato chenu.
 
Haaahaaaa! Huyo mjanja! Kwenye ndoa watu wanadhurumiana! Sembuse uchumbaa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom