Hata wewe ungerudisha

Hata wewe ungerudisha

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,829
Jana nilikua nimekaa barazani nasoma novel akapita Dada mmoja mrembo nikaamua kumuita akadai anaharaka kunamgeni anamuwahi, basi nikamuomba namba ya simu akanipa kwa shingo upande baada ya kuona ntamchelewesha.

Kumbe alikua kaenda kumpokea rafiki yake yaani kumuona tu nikachanganyikiwa jinsi alivomrembo.. ikabidi nimuite yule nlomwita mara ya kwanza nikamrudishia namba yake nikachkua ya mwenzake... eti jamani hata we si ungerudisha?
 
Jana nilikua nimekaa barazani nasoma novel akapita Dada mmoja mrembo nikaamua kumuita akadai anaharaka kunamgeni anamuwahi, basi nikamuomba namba ya simu akanipa kwa shingo upande baada ya kuona ntamchelewesha. Kumbe alikua kaenda kumpokea rafiki yake yaani kumuona tu nikachanganyikiwa jinsi alivomrembo.. ikabidi nimuite yule nlomwita mara ya kwanza nikamrudishia namba yake nikachkua ya mwenzake... eti jamani hata we si ungerudisha?
Kwani kwa yule wa kwanza ulichukua namba kwa ajili gani na kwa nini ukarudisha na kuchukua ya huyo wa pili?

Nia yako ilikuwa nini hasa?
 
u Dude Patrickn Leo umenifurahsha sana na hiz thread zako ya kwanza ulijidai hujui kuandika, hii unazingu ur xo fun mr
 
kama nia ni kumpata huyo rafiki yake basi mimi nisingerudisha ningemtumia huyo huyo kumpata huyo aliyenipagawisha zaidi
ni mawazo tu
 
na ukikutana tena na mwingine mzuri zaidi urudishe na hiyo uchukue nyingine, teh teh!
 
kama nia ni kumpata huyo rafiki yake basi mimi nisingerudisha ningemtumia huyo huyo kumpata huyo aliyenipagawisha zaidi
ni mawazo tu
Hahahaaaa...kweli u 're an opportunist
 
Jana nilikua nimekaa barazani nasoma novel akapita Dada mmoja mrembo nikaamua kumuita akadai anaharaka kunamgeni anamuwahi, basi nikamuomba namba ya simu akanipa kwa shingo upande baada ya kuona ntamchelewesha. Kumbe alikua kaenda kumpokea rafiki yake yaani kumuona tu nikachanganyikiwa jinsi alivomrembo.. ikabidi nimuite yule nlomwita mara ya kwanza nikamrudishia namba yake nikachkua ya mwenzake... eti jamani hata we si ungerudisha?
childishly interesting!
 
Ni utoto tu ukikua utaacha.:yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom