Huko aliko haja kaa bure wazee,yuko ki mkakati zaidi,
Anasoma ramani na alama za nyakati.
Hela alizokomba,hajamaliza kazi yake na mkumbuke bado analipiwa hata kodi ya pango huko.
Akirudi atarudi kivingine na hamtaamini macho na maskio yenu
Niliota hivo jana.