pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
Maprofesa wapo kibaooo kule Havard, Oxford, makerere, Udsm, Nairobi University nk, nk. ILA yupo profesa mmoja Buguruni malapa!
Dah watu mna mineno yakweliiiHakuna mkate mgumu mbele ya chai...![]()
Kuondoa utu wa mtu na kuharibu akili
Usihisi kutishwa. Si unauhakika na uzi wako?. Cha msingi jiandae na proof, that's all.Nilitishwa ughaibuni na sikutishika itakuwa hapa nyumbani?
Kama Mboe alivyokula ya Lowassa na kubadili gear anganiHiyo ndiyo nguvu ya pesa hata kama hutaki pesa inaweza kukufanyia maamuzi
Kimyaaandiyo maana dr alienda zake huko.. ila hata mi nisingekataa hela
Haaahaaaa sitakiiiiiMaprofesa wapo kibaooo kule Havard, Oxford, makerere, Udsm, Nairobi University nk, nk. ILA yupo profesa mmoja Buguruni malapa!
Ushackia miss wa ki-chagga anakataa'ela?ndiyo maana dr alienda zake huko.. ila hata mi nisingekataa hela
Hilo jasho sasa.....Ndio maana Lipumba alikuwa mmoja wa watu wa kwanza kwanza kwenda Ikulu kumbe ilikuwa kwenda kumkumbusha mkulu asisahau ahadi yao kumtupia kacheo!
Masikini mzee wa watu akapanda Bodaboda haraka mpaka Ikulu jasho chapachapa (kama anavyoonekana) na bado wamemtulea nje? Atakufa kwa kihoro huyu mzee.
View attachment 411507