Hata wewe inaweza kukutokea

Hata wewe inaweza kukutokea

Chezea mahela na marupurupu yake we. Hukumwona Fr. Slaa alivyoonekana kijana baada ya kupewa ukimbizi wa ihari Canada? Imagine nani anamlipia pango au ndo kapewa nyumba kabisa.
Chem chem inalipa
 
Kisha akasepa! Yeye anaifahamu siri ya mchezo akirejea atakuwa hana kitu na mahitaji ya nyakati yatambeba
Huko aliko haja kaa bure wazee,yuko ki mkakati zaidi,
Anasoma ramani na alama za nyakati.
Hela alizokomba,hajamaliza kazi yake na mkumbuke bado analipiwa hata kodi ya pango huko.
Akirudi atarudi kivingine na hamtaamini macho na maskio yenu
Niliota hivo jana.
 
AWAKU huwa siielewi tangu Lowasa aingie....hakuna wa kumuani iwe ni MCC AU AWAKU.,
 
Back
Top Bottom