Hata wewe inaweza kukutokea

Hata wewe inaweza kukutokea

Ndio maana Lipumba alikuwa mmoja wa watu wa kwanza kwanza kwenda Ikulu kumbe ilikuwa kwenda kumkumbusha mkulu asisahau ahadi yao kumtupia kacheo!
Masikini mzee wa watu akapanda Bodaboda haraka mpaka Ikulu jasho chapachapa (kama anavyoonekana) na bado wamemtulea nje? Atakufa kwa kihoro huyu mzee.
View attachment 411507
Hahhahahaaaa hii ilikuwa tax isiyo na kiyoyozi
 
Usihisi kutishwa. Si unauhakika na uzi wako?. Cha msingi jiandae na proof, that's all.
You can just go to hell...! That's what at least I can tell you for now..! Ati nijiandae umeambiwa huu ni mtihani wa darasa la saba? Au moko ya sekondari?
 
Kilicho trend last week ni ishu ya aliyekuwa mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutengua uamuzi wake wa kujiuzulu nafasi hiyo na kupata msaada wa dola kwenda kuvunja makufuli ya iliyokuwa ofisi yake ya chama na kuamua kuishi hapo usiku na mchana huku akiwa na walinzi lukuki
Hili lilitanguliwa na viongozi wenzake kumtuhumu kwa uwazi kabisa kuwa katumwa na chama tawala kuivuruga CUF huku wakiweka wazi kiasi alichopewa na vitu alivyonunua.

Post hazikuwa haba hapa jukwaani na kwengineko za kumkosoa kumtusi kumkashifu na kukubaliana naye zote zilikuwepo, kwa ufupi tunaweza kuuita WIKI YA LIPUMBA, kwakuwa hata ishu ya waziri mkuu kuhamia Dodoma haikuwa habari kivile.

Wote kwa ujumla wetu tulobebwa na jina Lipumba na yale aliyoyafanya...! Akibezwa mpaka kiwango chake cha elimu na jinsi alivyodhalilisha nafasi ta uprofesa

Mimi nachukua nafasi hii kuwa na mtazamo tofauti kidogo.

Kwanza ni ukweli usiopingika kuwa Lipumba ni msomi mchumi aliyefanya mengi kuliko wengi wetu kitaifa na hata kimataifa, anatambulika na kufahamika kwenye mengi.

Kilichomtokea yeye si bahati mbaya bali ni mipango ya muda mrefu iliyosukwa kwa ustadi na ushawishi mkubwa...hapo ahadi ya pesa nyingi ulinzi na hata cheo vilitumika sana.

Nani asiyependa ulinzi wa dola wa kipekee kutoka kitengo?

Nani asiyependa cheo na nafasi serikalini?

Nani asiyependa pesa nyingi zisizo za kuhangaikia sana? Hata mwendawazimu anajua hii ni pesa asiitupe.

Inahitaji moyo mgumu wenye uthubutu wa kipekee kuweza kuruka viunzi vya ushawishi wa namna hii.

Kitengo kilipewa special task ya kusambaratika muunganiko fulani. hapo waliangaliwa nani ambao wana ushawishi lakini ambao wanaweza kulainika kama shekeli nk vikitumika, list ilikuwa ndefu..tumeona yaliyotokea. Prof naye alikuwa mmojawapo.

Pesa ya kitengo ni nyingi ni tamu na haikatwi kodi na unapewa yote kwa mpigo kama ni kwa istallment haziwezi kuzidi mbili...halafu haina kelele
Wajanja wanapoichukia ile pesa na kufanya kazi ya awali hukimbia nchi kwakuwa ukibaki, itabidi uendelee kuitumikia ile pesa ya watu kwa matakwa ya waliokulipa.

Hapa ndio penye shida kubwa

Hapa ndio watu hufanya mambo tofauti na kawaida

Hapa ndio watu huweka taaluma pembeni na kukubali kutumika

Hapa ndio utu heshima na hekima ya mtu hugoma na kugota kufanya kazi bali kupokea maagizo kutoka gizani, maagizo yasiyohojiwa.

Lipumba yuko kwenye mtanziko huo kwasasa na hana jinsi bali kutii

Tumbeze kumdhihaki na kumcheka lakini hata kama ni wewe ungekuwa kama prof Ibrahim Haruna Lipumba
Uko sahihi mkuu, ishu ya Lipumba inafanana mno na ishu ya vijana hasa wasanii maarufu ambao hukubali kufadhiliwa na madon wauza unga...kwanza watakupa range, pili watakupa nyumba au kukupangia nyumba nzuri na watakupeleka London na miji mingine mikubwa ya Ulaya na Marekani....hapo utakuwa umenasa na ikifikia hatua hiyo watakwambia tuna mzigo tunataka uende nao China au South Africa au popote na ole wake kijana akikataa wanakula shingo yake...ndicho kilichomtokea Lipumbavu...asingeweza kula hela ya kitengo iliyoibwa kupitia Lugumi hivihivi, lazima afanye kazi na akigoma watakula kichwa chake!
 
Imagine saa hii yuko ndani ya zile ofisi ana hana uhuru wa kufanya atakalo, yuko na fazaa na jana privacy
 
Uko sahihi nguvu ya pesa ndio inayowafanya Chadema kumwabudu Lowassa.

Nguvu ya pesa ndio inayofanya Chadema waamini bila Lowasa wasingeweza kuchukua jiji la Dar,Arusha na Mbeya na baadhi ya halmashauri za miji.

Nguvu ya Pesa inawafanya Chadema wamwamini na kumsujudu mtu mmoja badala ya Chama kama taasisi.

Kweli nimeamini Nguvu ya pesa hakuna wa kushindana nayo.!
idawa aidha hukunielewa au hujui au una agenda yako kwa ajili ya kujifurahisha na kujipa nafuu ya roho
 
Mambo mawili, either kahongwa na anatumiwa au kachanganyikiwa akili. Kwasababu amechukua hatua mbili ambazo hazifanani kabisa kimantiki. Kwanza aliachia madaraka kwa hiari yake. Halafu sasahivi mtu huyohuyo yupo tayari kupambana hata kwa kung'ata mtu sikio na meno kushikilia madaraka hayohayo aliyoyaachia kwa hiari yake hapo awali. Hapo unaona kabisa kuna kitu siyo cha kawaida.
 
Clearly, professor Lipumba is now a troublemaker. Hakuna kitu chochote anachokifanya sasahivi chenye tija kwa taifa. Tena kama mchumi, anatakiwa ajue kuwa hivi sasa matendo yake yanaingiza hasara kwa nchi kiuchumi, kwa garama ya maskini walio wengi walipa kodi.
 
Ndio maana Lipumba alikuwa mmoja wa watu wa kwanza kwanza kwenda Ikulu kumbe ilikuwa kwenda kumkumbusha mkulu asisahau ahadi yao kumtupia kacheo!
Masikini mzee wa watu akapanda Bodaboda haraka mpaka Ikulu jasho chapachapa (kama anavyoonekana) na bado wamemtulea nje? Atakufa kwa kihoro huyu mzee.
View attachment 411507
Duuuuu leprofesel Mijasho bila shaka hana hata Gar huyu Babu
 
Clearly, professor Lipumba is now a troublemaker. Hakuna kitu chochote anachokifanya sasahivi chenye tija kwa taifa. Tena kama mchumi, anatakiwa ajue kuwa hivi sasa matendo yake yanaingiza hasara kwa nchi kiuchumi, kwa garama ya maskini walio wengi walipa kodi.
Kuna mahali nimefika nimeamua kuamini kuwa pengine Prof . anaumwa
 
Uko sahihi nguvu ya pesa ndio inayowafanya Chadema kumwabudu Lowassa.

Nguvu ya pesa ndio inayofanya Chadema waamini bila Lowasa wasingeweza kuchukua jiji la Dar,Arusha na Mbeya na baadhi ya halmashauri za miji.

Nguvu ya Pesa inawafanya Chadema wamwamini na kumsujudu mtu mmoja badala ya Chama kama taasisi.

Kweli nimeamini Nguvu ya pesa hakuna wa kushindana nayo.!
Post yako watajifanya hawajaiona. Mkuki kwa kitimoto huu kiongozi. You just said the truth. Hakuna mkate mgumu kwa chai, ndio maana gia na direction zilibadilishwa angani!!!
 
Ni ukweli usiopingika kuwa anachofanya'' Bwana yule'' si hiari yake ila kakubali kuwa mtumwa hana jinsi,chezea kitu ingine ila sio mkwanja na kwa usawa huu acha kabisaa.

Hahahaaaaa..."Bwana yule"
 
Back
Top Bottom