Hata wewe inaweza kukutokea

Anajihaibisha tyuuuu kama siasa zimemshinda aende akafundishe chuo
 
Kuondoa utu wa mtu na kuharibu akili

Ndio maana Lipumba alikuwa mmoja wa watu wa kwanza kwanza kwenda Ikulu kumbe ilikuwa kwenda kumkumbusha mkulu asisahau ahadi yao kumtupia kacheo!
Masikini mzee wa watu akapanda Bodaboda haraka mpaka Ikulu jasho chapachapa (kama anavyoonekana) na bado wamemtulea nje? Atakufa kwa kihoro huyu mzee.
 
hahha,pesa hua haiulizwi umetoka wapi na umepatkanaje,machungu yanakujaga zikisha kuwa zimeisha,hasa kama uliipata kwa njia ya usaliti na wasalitiwa wakajua kua uliwasaliti,Professor hata akiwa anaongea,unahisi kabisa dhamira inamsuta
 
Tumbo lenye njaa siku zote halijawahi kua mshauri mzuri siku zote
 
Uko sahihi nguvu ya pesa ndio inayowafanya Chadema kumwabudu Lowassa.

Nguvu ya pesa ndio inayofanya Chadema waamini bila Lowasa wasingeweza kuchukua jiji la Dar,Arusha na Mbeya na baadhi ya halmashauri za miji.

Nguvu ya Pesa inawafanya Chadema wamwamini na kumsujudu mtu mmoja badala ya Chama kama taasisi.

Kweli nimeamini Nguvu ya pesa hakuna wa kushindana nayo.!
 
Hilo jasho sasa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…