Hata wewe inaweza kukutokea

Sipati picha siku Mwanasheria wetu atakapovuta mihela ya kitengo,tutabaki mimacho kodo. KWA KIFUPI TZ HAKUNA UPINZANI MBELE YA PESA YA KITENGO,NA WANAKWAMBIA HATA USIPOZICHUKUA HIZI PESA URAISI HUPATI PIGA UA GALAGAZA.
 
Tumewapoteza wanasiasa wengi mahiri kwa ajili ya shekeli na kulazimishwa kufanya usaliti! Siasa zetu zimerudishwa nyuma na wale wahafidhina waliokataa mabadiliko kwa kuhofia usalama wao
Kwa kutumia mbinu chafu wameweza kuwarubuni wanasiasa wengi na kuwapoteza kabisa
Aliyewahi kusoma hiki kitabu cha Nick Carter cha SLAVE MASTER atajua kwa hakika nini kinaendelea
 
Hiyo ndiyo nguvu ya pesa hata kama hutaki pesa inaweza kukufanyia maamuzi
 
Kweli pesa mwanaharamu, hata Mbowe alipolengeshewa pesa na Laigwanan FISADI alibadili gia angani na kuondoa neno FISADI kwenye misamiati ya chama chake. Kweli acha pesa iitwe pesa!
 
Alidanganywa mengi
-kuna donge la ziada
- cheo cha kuwa mshauri maalum wa bob
-ubunge kisha uwaziri wa uchumi [emoji23]
Halafu wakamwambia kuna ka kazi kidogo tunaomba utusaidie...

Kazi ndogo ya kuosha masufuria ughaibuni na yeye msomi wa Uchumi akakubali.Bora niishie darasa la saba kuliko kuwa PhD holder ukawa kama Lipumba
 
Ndugu upo wapi Leo! Nitafute Respect Pub jioni nikupe castle lite baridi kwani umeongea ukweli kabisa
 
Mkuu kipo free online?
 
Mleta uzi umesema point sana wala hujakosea umesomeka vzr mkuu even mimi ningefanya the same
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…