Heshima mbele wana jamvi !!
Wadau jana nimedondosha Blackberry 9900,kama kuna mtu ana idea jinsi ya kuiblock ili mtu mwingine asiweze kuitumia
please tupia maujuzi hapa.
Yaani bora tukose wote !!
Heshima mbele wana jamvi !!
Wadau jana nimedondosha Blackberry 9900,kama kuna mtu ana idea jinsi ya kuiblock ili mtu mwingine asiweze kuitumia
please tupia maujuzi hapa.
Yaani bora tukose wote !!
Kama ulidondosha imaana cha kuokota si cha kuiba, mwenyd mali ni mjinga. Hivyo ni vyema umeachie huyo mwenye bahati maana hakukuibia au jaribu kuomba akupatie huenda yumo humu JF Kuliko wote mkose.
Kama uliinstall BlackBerry protect unaweza kuingia website yao na kuilock au kuifuta simu. Pia kama uliweka password hataweza kuitumia mpaka aifute data.