Nyumba moja ilikuwa na panya wasumbufu wengi sana.Ili kuondokana na adha ya wale panya,jamaa wakatafuta nyama ya nguruwe,wakaipaka sumu kisha wakaitega ili panya wale.Walipoamka asubuhi wakakutana na karatasi imeandikwa;sisi sote ni waislamu hatuli kitimoto!