colony
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 361
- 494
Tuliambiwa tutakula kwa jasho but haijaandikwa kuwa mwanaume ndo atamiliki Pesa peke yake ndio maana siku hizi kila mtu anapambana na hali yake sio mwanaume sio mwanamke wote ni kuchakarika tu maana hali haiko poa mtaan,,, jasho linalonitoka kwenye game( mechi) nahisi ndo Hilo walimaanisha!! Sasa kuomba tena hela kunatoka wapi.Mliambiwa kula kwa jasho hilo jasho ndio thamani yako mwanaume lkn siku hizi mkiombwa elfu ishirini tu na uzi mnafungua uishini uamaume mnatia aibu wanaume wa siku hizi
Ukiishi kwa kungoja Pesa baada ya kutunuku papuchi manaume tunakulia mikongoraa ya kimasai lazima tukuharibu