Hata wanawake walioolewa wanapenda tips za asubuhi

Hata wanawake walioolewa wanapenda tips za asubuhi

Tips mara nyingi hutolewa kwa wachumba/wapenzi. Yaani ile mnaagana baada ya kukutunuku una mkatia wekundu kadhaa bila hata kukuomba. Bahati mbaya wengi husitisha hizi tips mara wawili hao waingiapo kwenye ndoa.
Sasa ushauri nakupa pokea, kila anapokutunuku kesho yake unamkatia wekundu kadhaa za matumizi yake binafsi. Ukimzoeza hivyo, yaani hata kama anakula, ukimuita chumbani ataacha msosi aje kukuhudumia
Source: Ni mimi mwenyewe nimesikia kijiweni.
ok boss, il
 
Huyo anayeenda kwa kahaba maandiko yanasema mwanaume hiyo hana akili kabisa. (Usiniombe mstari nimeusahau)

Mithali 6: 32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Mithali 6: 32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Mkuu uko vizuri! bible zenye kiswahili cha kisasa zinasema 'aziniye na kahaba'
 
Itakuwa wanauza "Bitcoins" mkuu. Maana ndio watu hopeless na mbumbumbu wa kiwango cha Reli(SGR) kuwahi kutokea katika Ulimwengu huu tunaoishi.
Ok vizuri, chaputa lazima wakusajili
 
Mliambiwa kula kwa jasho hilo jasho ndio thamani yako mwanaume lkn siku hizi mkiombwa elfu ishirini tu na uzi mnafungua uishini uamaume mnatia aibu wanaume wa siku hizi
Inategemea unaomba wakati gani, kukutana leo tu na unaanza kuomba hela huo ni ufanyabiashara.
 
Inategemea unaomba wakati gani, kukutana leo tu na unaanza kuomba hela huo ni ufanyabiashara.
Nami sijamaanisha kuomba kwa kila tendo lkn jasho la mwanaume ndilo hasa limebeba heshima ya mwanaume

Mwanaume kujisikia kuwa yupo kamili basi ni mafanikio yake kimaisha hata manabii wateule hakuna aliyekuwa legelege sie tunatumia sehemu ndogo tu ya mali zenu
 
Back
Top Bottom