Hata wanawake walioolewa wanapenda tips za asubuhi

Hata wanawake walioolewa wanapenda tips za asubuhi

Mliambiwa kula kwa jasho hilo jasho ndio thamani yako mwanaume lkn siku hizi mkiombwa elfu ishirini tu na uzi mnafungua uishini uamaume mnatia aibu wanaume wa siku hizi
Ishirini yote hyo now 10k tu inachezea block pande zote na number inafutwa.
 
Yaani nimpe mke wangu hela kila asubh baada ya morning glory? Kwan ananiuzia ebo! Nitaacha hela ya kula sio hizo unazoziita tips wewe endelea kumpa ni wa kwako
Usipanic mkuu. Kijana inaonyesha anaishi mitaa ya sinza mori kwa hyo kila siku anajisevia na wale huwez amka ukaondoka na kengele zako bila kuacha morning glory
 
Daahh
poleni wanawake nahisi nnyie ndo mnapitia vipindi vigumu sana ktk maisha yenu ya ndoa au mapenzi!wanaume tunajijua wenyewe.
unaweza kuwa mke bora dunia nzima lakini ye akaona uko tofauti kbs na asikupende akaende kwa kahaba namba saba
Ndiyo ilivyo wala hujakosea huko anachunwa bila hata maji ya moto wakati nyumbani kuacha elfu 5 ni mtihani
 
Tips mara nyingi hutolewa kwa wachumba/wapenzi. Yaani ile mnaagana baada ya kukutunuku una mkatia wekundu kadhaa bila hata kukuomba. Bahati mbaya wengi husitisha hizi tips mara wawili hao waingiapo kwenye ndoa.
Sasa ushauri nakupa pokea, kila anapokutunuku kesho yake unamkatia wekundu kadhaa za matumizi yake binafsi. Ukimzoeza hivyo, yaani hata kama anakula, ukimuita chumbani ataacha msosi aje kukuhudumia
Source: Ni mimi mwenyewe nimesikia kijiweni.
Sa nkifanya hivo ntakua nanunua mkuu wakati nlishamlipia bei ya jumla yaaani Nile hadi nisimamiemo humohumo!
 
Sa nkifanya hivo ntakua nanunua mkuu wakati nlishamlipia bei ya jumla yaaani Nile hadi nisimamiemo humohumo!
Hahahaaa, naona unatumia kanuni ya wavuvi isemayo kuwa Samaki hapewi chambo mara mbili.
 
Usipanic mkuu. Kijana inaonyesha anaishi mitaa ya sinza mori kwa hyo kila siku anajisevia na wale huwez amka ukaondoka na kengele zako bila kuacha morning glory
Mkuu fuatilia response za members has wa kike, utagundua kitu. Sehemu salama ya kuwekeza ni kwa mke wako!
 
Mliambiwa kula kwa jasho hilo jasho ndio thamani yako mwanaume lkn siku hizi mkiombwa elfu ishirini tu na uzi mnafungua uishini uamaume mnatia aibu wanaume wa siku hizi
Maneno kama haya mtawakamata wengine mie bado hamjanipata
 
Mleta uzi nimekupenda bure
Saidia kuelimisha humu maana kuna watu wamejibinafsishia ATM card za wake zao. Kadi uchukue hata tips tu hutoi. Mke akitaka pesa hata ya soda lazima aombe, khaa!
 
Back
Top Bottom