Hata wanawake tunapenda mpira


Mumeo anapenda mpira?
 
kwa kutabiri mi mkareeeee heh heh!!! nimeshinda aseee si umeona matokeo ya italy vs england????

Hongera banaa... naona ulibahatisha kweli...
Pia hongera kwa Ivory Coast. ..
 
Hongera banaa... naona ulibahatisha kweli...
Pia hongera kwa Ivory Coast. ..

haaah sio kuahatisha wangu kitu inborn i nkikutabiria kitu lazima upige keleleeeeeee!!
 
Hata we ulisema bao hujui ngapi. .

Ila mi najua... 2-0

weeeeeeehhh ebu pitia vizuri koments zangu tangu mwanzo utakuta kuna sehem mesema italy 2-1 englnd . france watafunga 3 banah unabisha!!???
 
Umetishaaaaa:beer::beer::beer:

haya ninunulie hizo beer baridiiiiiii nimalizie wkend sasa tena inapendeza na nyama choma daah inashuka freeeeeeeeesh duh. castle tatu tu zinanitosha.
 
haya ninunulie beer baridiiiiiii nimalizie wkend sasa tena inapendeza na nyama choma daah inashuka freeeeeeeeesh duh. castle tatu tu zinanitosha.

Hiyo tu? Usijali... nakuja na castle kreti kuangalizia mpira wa leo kwako
 
Hiyo tu? Usijali... nakuja na castle kreti kuangalizia mpira wa leo kwako

leo sitakuepo nina udhuru kidogo so sitalala kwangu. ila wee njoo na hilo kreti mashabiki waliopo watakufurahia sana umewaletea bia tena itakua burudaaani kwao!!
 
leo sitakuepo nina udhuru kidogo so sitalala kwangu. ila wee njoo na hilo kreti mashabiki waliopo watakufurahia sana umewaletea bia tena itakua burudaaani kwao!!

Hayya. .. "udhuru" mwema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…