Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
hautanoga. raha ya mpira mkutane mashabiki wapinzani ndo utaufrahia!!
hahaha jamani my kaka ubabe hadi jf hutaki mashemeji mazombi akiona nyoka anaruka ooo mama
jana uliangalia!!!!!!!!
haaa!! never miss asee nimehamia kwa mwenyekit iwa kitongoj mpaka tar 13 july ana ka tv ka nchi 14 kitongoj kizima tunaangalia kuanzia ya mwanzo ile ya brazil na koratia(3-1) , mexico na cameroon(1-0), spain na netherlnd(1-5) na leo saa moja jioni ugiriki na kolumbia na saa nne usiku uruguay na kostarika,
Mi labda nipelekwe nikaangalie mieleka nikamshangilie batista na Rock
Umemiss ya Australia 1-3 Chile. Ilikuwa tam balaa
huo muda tulivutiwa zaidi na ya hispania na uholanzi tukachagua kuangalia hiyo.
Zilikuwa mda tofauti. Ilianza saa 6 na nusu usiku
asee umeme ulikatika banah. bt ntaangalia marudio yake.
mke wangu angekua kama wewe ningefurahi sana. nilimwomba siku 1 twende uwanja mpya wa taifa akaninunia utadhani nilimwambia nampeleka hospitali akachomwe sindano.
Ukiweza fanya hivo bana...
Hebu tabiri England na Italy leo usiku...
lol alichokifanya marcelo juz angekua england angenusurika risasi nahis italy atashinda ila kujua goli ngapi ndo balaa anyway lem try my best atashinda kwa 2-1.
kama zali asee nimebofya chaneli ndo nakuta marudio ya chile na australia. australia wamevaa njano chile chini bluu juu nyekundu afu ndo wamefunga bao la kwanza- sanchos kasababisha uongo uongooo????
cc. tuko
Chanal ipi mkuu
AB sport chaneli moja ivi kwenye mwanza cable.
Poa mimi mwenyewe sikuiyona hii mechi
mapemaaa ugiriki washachapwa kimoja cha fasta mweh!!
Hawa colombia wangekua na yule falcao wangezidi kua na upinzani