Hata wanawake tunapenda mpira

brazil ngoma ya 2 kama kawa neymar-kitu penati lol!!! ila ile y pili kipa alijitahid kumuotea neymar kidooogooo sema mpira ulikua wamoto sana akaudaka na kuuachia ukaelekea nyavuni tihi tihi tihi!
 
Nimerudi home kafunga milango yote na funguo kaziacha kwenye tundu so lzm umpigie simu aje afungue!

Kufungua tu kitu cha kwanza kusema "yaani saa 5 hii mpira gani huo"?Kumuambia kuanzia kesho upo hadi wa saa 8 usiku kaanza kulia!

Ahahaha kazi sana kwa kweli
 
We mwambie tu kuwa mume wangu eeh mi ndo nasepa utanifungulia !!

kwani shida iko wapi mkuu? mbona mie mke wangu namfunguliaga saa 6, 7 au 8 akirudi toka kicheni pati,send off ,harusini na ceremony nyinginezo? ni kawaida tu.kama anapenda soka ruksa tu.vitu vingine tunaendekeza tu.
 
Andika barua ya maombi

Dada mambo mengine huwa mnatusingizia tu,kama umeolewa ukienda kicheni paty,send off harusini,na kwenye tafrija nyingine peke yako huwa unaandika barua ya maombi? mie namfunguliaga mke wangu.siendagi harusini.kama kweli kwa dhati kabisa anapenda kabumbu aende tu kweli nakwambia.
 
brazil ngoma ya 2 kama kawa neymar-kitu penati lol!!! ila ile y pili kipa alijitahid kumuotea neymar kidooogooo sema mpira ulikua wamoto sana akaudaka na kuuachia ukaelekea nyavuni tihi tihi tihi!

mke wangu angekua kama wewe ningefurahi sana. nilimwomba siku 1 twende uwanja mpya wa taifa akaninunia utadhani nilimwambia nampeleka hospitali akachomwe sindano.
 
mke wangu angekua kama wewe ningefurahi sana. nilimwomba siku 1 twende uwanja mpya wa taifa akaninunia utadhani nilimwambia nampeleka hospitali akachomwe sindano.

Mi labda nipelekwe nikaangalie mieleka nikamshangilie batista na Rock
 
mke wangu angekua kama wewe ningefurahi sana. nilimwomba siku 1 twende uwanja mpya wa taifa akaninunia utadhani nilimwambia nampeleka hospitali akachomwe sindano.

Kuna watu wana bahati mweee!
Yani me hapa nimepigwa life ban ya kukanyaga stadium roho inaniuma hatari, halafu wife wako anakataa kwenda?
Yani siku hizi zikipigwa mechi pale basi napigiwa simu kila baada ya dakika tano, ole wangu nisipokee....ili kama nipo uwanjani asikie makeleleee!
 
Mi labda nipelekwe nikaangalie mieleka nikamshangilie batista na Rock

Wewe tena unazidi kunivutia zaidi,make badala ya soka wewe unapenda zaidi mieleka,kitu ambacho wanawake wengi hawakipendi na wanaona kama ni ukatilifulani hivi, na ni mchezo wa kuumizana.
 
Tunatofautiana sana asee.mke wangu hata nikimwambia twende club hapendi,beach yenyewe lazima nimlazimishe.amenifanya hata mie niwe nazubaa home tu.
 
Wapo tele...ukisikia mume hapendi sports ujue ndo hao

The Boss ume comit fallacy mim Napenda Mpira na hapa nasinzia mana nimelala late sna . Ishu ya nyoka aisee cjui nisemej cjawah kuua nyoka afu naogopa nyoka kuliko wadudu wote/wanyama kam ni mnyama . cjawah kuua nyoka mwenyew labda mtu aanze me nimalzie nkimona noka sehem hyo njia sipiti mpak baada ya miezi huwa medula oblangata inarecall hlo tukio mpak bas . itabd nijifunze kuua nyoka kabla sijaoa
 
Cha kufanya wewe ondoka nenda kaangalie mpira ukisharudi mwambie stori nzima ya mpira ilivyokuwa naye ipo siku atabadilika na kujoin nawe
napenda mpira sana na mume hapendi wala hajui kuhusu mpira sisi leo hatareee kucheki peke yangu hainogi mpaka niende sehemu,hapo sisi nashindwa nianze vip kuomba ruhusa .

Wanawake wenzangu mnaopenda mpira mmeomba vipi ruhusa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…