Dah!! Umesababisha na mimi nimkumbuke so acha tumkumbuke wote.Ghafla nimemkumbuka mizengo pinda.....
Da umesababisha na Mimi ni sononekeDah!! Umesababisha na mimi nimkumbuke so acha tumkumbuke wote.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji115] [emoji116]Mwanaume akilia ujue ni jambo zito linalomsibu sio bure................mwanaume hutakiwi kulia, unatakiwa kububujikwa na machozi endapo yamekufika mazito,
Umenigusa xn mkuu, ni tatizo linalosababisha msongo wa mawazo.