JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,492
- 7,515
Bila shaka inayeyushwa na migao ya umeme, upandaji bei holela na ubabaishaji ambao taratibu unashika kasi.Jiwe alikuwa mshamba sana legacy fake inayayuka mithili ya jibini Juan!!!
Bila shaka inayeyushwa na migao ya umeme, upandaji bei holela na ubabaishaji ambao taratibu unashika kasi.Jiwe alikuwa mshamba sana legacy fake inayayuka mithili ya jibini Juan!!!
Jiandae na virungu pia😃Kututoa barabarani msijione mmeshinda! Tunawavutia kasi tu mtaanz kutuon x-mas senzi kabisa nyinyi
Ukame na corona sio kosa la serikali, tuwe wakweli. Huwa nina tabia ya kufanya ulinganifu na nchi nyingine za kikanda na kidunia. Sisi sio kisiwa.Bila shaka inayeyushwa na migao ya umeme, upandaji bei holela na ubabaishaji ambao taratibu unashika kasi.
Hii corona imeanza juzi tu au ndio kichaka cha kujifichia!? Kama corona ni kisingizio basi jua kuwa kuna watu wamegeuka machinga baada ya makampuni waliyokuwa wanafanya kazi kufungwa. Binafsi nawafahamu wadada wawili. Hizo pesa za corona mnazoomba omba huko nje zimewasaidia nini!?Ukame na corona sio kosa la serikali, tuwe wakweli. Huwa nina tabia ya kufanya ulinganifu na nchi nyingine za kikanda na kidunia. Sisi sio kisiwa.
Hizo ni pesa ambazo zilitolewa kwa nchi zote hata bila kuziomba. Tz tulichelewa kuzipata kwakuwa tulisemaga hatuna Corona. Mama alivyoingia akakiri kuwa hata sisi tz tuna corona, ndio akapewa.Hii corona imeanza juzi tu au ndio kichaka cha kujifichia!? Kama corona ni kisingizio basi jua kuwa kuna watu wamegeuka machinga baada ya makampuni waliyokuwa wanafanya kazi kufungwa. Binafsi nawafahamu wadada wawili. Hizo pesa za corona mnazoomba omba huko nje zimewasaidia nini!?
Nimeuliza hizo pesa za corona zimewasaidia nini walioumizwa kiuchumi na corona!? Hizo porojo za eti tulichelewa kupewa ni upuuzi tu. Huko mnakoimba omba fedha, wanayasaidia makampuni yaweze kusimama tena na kuajiri. Ninyi hizo pesa mmefanyia nini!?Hizo ni pesa ambazo zilitolewa kwa nchi zote hata bila kuziomba. Tz tulichelewa kuzipata kwakuwa tulisemaga hatuna Corona. Mama alivyoingia akakiri kuwa hata sisi tz tuna corona, ndio akapewa.
Tumegawana na Zanzibar. Kwani zile pesa za tetemeko la kagera zilienda kwa wqliokumbwa na tetemeko?Nimeuliza hizo pesa za corona zimewasaidia nini walioumizwa kiuchumi na corona!? Hizo porojo za eti tulichelewa kupewa ni upuuzi tu. Huko mnakoimba omba fedha, wanayasaidia makampuni yaweze kusimama tena na kuajiri. Ninyi hizo pesa mmefanyia nini!?
Wamejengea madarasa na zahanati!!!Nimeuliza hizo pesa za corona zimewasaidia nini walioumizwa kiuchumi na corona!? Hizo porojo za eti tulichelewa kupewa ni upuuzi tu. Huko mnakoimba omba fedha, wanayasaidia makampuni yaweze kusimama tena na kuajiri. Ninyi hizo pesa mmefanyia nini!?
kwahiyo wewe ulitaka wanunuliwe mihogo na kachumbali wapewe wamachinga?Nimeuliza hizo pesa za corona zimewasaidia nini walioumizwa kiuchumi na corona!? Hizo porojo za eti tulichelewa kupewa ni upuuzi tu. Huko mnakoimba omba fedha, wanayasaidia makampuni yaweze kusimama tena na kuajiri. Ninyi hizo pesa mmefanyia nini!?
Mimi nilitaka upewe wewe na mumeo ziwasaidie.kwahiyo wewe ulitaka wanunuliwe mihogo na kachumbali wapewe wamachinga?
mna siasa dhaifu sana nyie. Kuwatafuta mtu mmoja mmoja aliyeathiriwa na korona ingekuwa kazi ngumu sana. Pesa hizo unadhani zingetosha kupewa watu, viwanda, makampuni na taasisi ngapi ambazo zimeathiriwa na ugonjwa wa corona? Pesa hizi zinajenga shule, zahanati, na kusambaza maji kwa watanzania wa bara na visiwani ambako watanzania wote watafaidika leo, kesho na kesho kutwa.Mimi nilitaka upewe wewe na mumeo ziwasaidie.
Tumegawana na Zanzibar. Kwani zile pesa za tetemeko la kagera zilienda kwa wqliokumbwa na tetemeko?
Siasa dhaifu wanazo wanaowabambikizia kesi za ugaidi wapinzani wao wa kisiasa.mna siasa dhaifu sana nyie. Kuwatafuta mtu mmoja mmoja aliyeathiriwa na korona ingekuwa kazi ngumu sana. Pesa hizo unadhani zingetosha kupewa watu, viwanda, makampuni na taasisi ngapi ambazo zimeathiriwa na ugonjwa wa corona? Pesa hizi zinajenga shule, zahanati, na kusambaza maji kwa watanzania wa bara na visiwani ambako watanzania wote watafaidika leo, kesho na kesho kutwa.
Ni kweli kabisa. Ki uhalisia umachinga ungetakiwa uratibiwe na urasimishwe na kuwekewa kanuni na vigezo maalum.Taratibu tutafika ila wajasirimali najua magumu wanayoyapitia katika kipindi hiki cha mpito
Hapa dar badoo sanaaa,Miji imependeza kabisa