Hapa wewe kizuri unakifahamu na unakitaka. Yaani eti utoke huko kwenu Lupaso na ushamba wako uje uchafue mitaa ya posta picha ya askari watu wakuache eti unatafuta riziki. Kwani sisi tuliozaliwa hapa mjini hatukupaona? Hatuna shida? Kany.. ulaleKututoa barabarani msijione mmeshinda! Tunawavutia kasi tu mtaanz kutuon x-mas senzi kabisa nyinyi [emoji3064]
Hakika mji wa DSM umebadilika sana. Angalau mji unaonekana kama Kigali
Tusifike uko, Kigali ni level nyingine. Kigali hakuna kubembelezana kama sisi. Eti mtu avamie eneo lisilostahili, ukitaka kumuondoa eti anakuuliza niende wapi.Hakika mji wa DSM umebadilika sana. Angalau mji unaonekana kama Kigali
AAA ni sawa, hata nyoka ukimkata kichwa ataendelea kutembea, lakini ni kwa muda tu. Hata machinga unaowaona wapo, hilo ndio teke lao la mwisho.sehemu nyingi hawakuondoka, bado wapo palepale
sehemu kadhaa wanaondoka mchana wanarudi usiku kuweka kambi
Watarudi tena, mda utasema,AAA ni sawa, hata nyoka ukimkata kichwa ataendelea kutembea, lakini ni kwa muda tu. Hata machinga unaowaona wapo, hilo ndio teke lao la mwisho.
At least hivyo aisee , wanapanga chini , kuliko ule uchafu wa vibanda uliokuwepo barabaranisehemu nyingi hawakuondoka, bado wapo palepale
sehemu kadhaa wanaondoka mchana wanarudi usiku kuweka kambi
Heee poleni na hongereniLeo saa 10 alfajiri wamesafisha Tandika
Kuna haja ya kushuhulika na wanunuzi wanaonunua bidhaa zilizopangwa chini kwenye mavumbi, tope na inzi. utakuta watu wananunua na kula vyakula vinavyouzwa sehemu zenye mavumbi, inzi zisizokuwa na maji tiririka ya kuonyeshea vyombo, matunda na mikono kabla na baada ya kunywa. Maji yaleyale kwenye beseni yanatumika kuoshea vyombo vya wateja wote wanaomaliza na wanaotaka kula.At least hivyo aisee , wanapanga chini , kuliko ule uchafu wa vibanda uliokuwepo barabarani
Naona palizi imeanzaKwa mara ya kwanza leo nimemsikia kwa masikio yangu mfanyabiashara aliyeondolewa kando ya barabara akisifia usafi ulioaza kujitokeza kandokando ya barabara zetu.
Nilikuwa na rafiki yangu aliyekuwa anauza matikiti ya kukata vipande pale Banana Ukonga jirani na taasisi ya Hali ya Hewa akisifia sana namna sehemu
Umenena vyema,Dar es salaam sio sehemu wanazopita watalii tu huko mitaa ya Samora na Posta mpya!!! Dar e s salaam ni mitaa hiyo ya Samora pamoja na vitongoji vyake ambavyo mpaka sasa wamachinga wamezagaa na uchafu uko pelepale kama kabla ya zoezi!! Makalla anaogopa kuwatoa wamachinga kwenye viwanja vya wakubwa; akisikia hapa ni kwa Kawawa au Nyerere hapagusi Ingawa Wakazi wa sehemu hizo wanakiuka sheria!!! Huwezi kufanikisha hili zoezi kama mtakuwa na double standards!!! Sheria lazima ziwe kama msumeno kwa kukata kotekote.