Umbea tu huo.Nikiwa nimepotelewa mali zangu, nikaenda kuripoti polisi, nikapewa utaratibu wote lakini ilipofika wakati wa kuonana na mhasibu wa kituoni - nakutana na janga hili ... "Vitabu vya risiti vimeisha - nenda kituo kingine jirani"
Hivi tunaelekea wapi? Si hilo tu naskia hata hati za kusafiria ni kitendawili ... karatasi za kuduruza nyaraka bungeni kitendawili ... mbona mwelekeo hauonekani jamani?
Na walioipoteza ni CCM na serikali yake. ...Tanzania imepotea
Fafanua vizuri sana taarifa yako ili ifanyiwe kazi kwakua haijitoshelezi.Umbea upi kijana? Sikuambiwa ni mimi mwenyewe ndo nilikutana na maneno hayo kituo cha polisi jijini Mwanza, nikaambiwa niende kituo cha Kirumba.